kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Wapi napata gesti bei ya chini? Tafadhali wakuu kesho nageuza nilikotoka Sina PA kufikia zaid ya gest ya bei chini.
Iko maeneo gani mkuuMerin
Mkuu Nina jacket matata sana haina shidaHapo zote zipo bei ya chini sana.sema inabidi utafute zenye uhakika wa kutoa maji ya moto.Kuna badirid hapo ya hatari.
Utaoga Jacket?Mkuu Nina jacket matata sana haina shida
Hhhhh hatariUtaoga Jacket?
Kwan lazima kuoga kaka?Utaoga Jacket?
Bei gani mkuu?Kalale pale Mama Mkubwa Lodge! Ukitoka hapo Mafinga shukia kituo cha Kwa Kihaka!! Baada tu ya kupita mizani.
Uliza boda hapo stend watakupeleka.Iko maeneo gani mkuu
Sawa halaf ni bei gani kakaUliza boda hapo stend watakupeleka.
Daah hadi hapa Nimegundua mleta mada hana mpango wa kuoga kwa hizi siku chacheMkuu Nina jacket matata sana haina shida
Mkuu mbona kot yako haiko relevant na Mada? Samahani lakinimkuu, uko mkoa wenye nguzo nyingi sana za REA pande izo, usiache abdallah kichwa wazi akontrol abdallah mkubwa
Mkuu kesho Narudi mbona nitakuja oga nikirudi maskaniDaah hadi hapa Nimegundua mleta mada hana mpango wa kuoga kwa hizi siku chache
Google utaikuta mkuuSawa halaf ni bei gani kaka
najua mkuu niko nje ya mda, ila tunakumbushana tuMkuu mbona kot yako haiko relevant na Mada? Samahani lakini
Nmecheka sanaa, kweli nguzo ni nyingi sana ukooo, akimruhusu tu Abdallah kichwa wazi kumkonturo ndo bc tena😁😁mkuu, uko mkoa wenye nguzo nyingi sana za REA pande izo, usiache abdallah kichwa wazi akontrol abdallah mkubwa