Nipo Mafinga naenda Makambako, tafadhali nielekeze gesti ya bei nafuu

Kalale pale Mama Mkubwa Lodge! Ukitoka hapo Mafinga shukia kituo cha Kwa Kihaka!! Baada tu ya kupita mizani.
 
mkuu, uko mkoa wenye nguzo nyingi sana za REA pande izo, usiache abdallah kichwa wazi akontrol abdallah mkubwa
 
Back
Top Bottom