Nipo kwenye utumwa wa mapenzi wa kujitakia, naomba ushauri

Yaani hapo alipoambiwa ooh mimi mke wa mtu ilibidi achape lapa
Sasa yeye akapiga kambi kabisa
Na huyo dem kiboko nae au inawezekana sio mke wa mtu na ndio mbinu zake za kuishi huko
Yaani hata sielewi
😁😁😁jamaa kaishiwa sijui kesho atalipa nini. Mmchangie mwanaume mwenzenu asiumbuke😁😁😁😁
 
Hahahaha nicheke mm lol...ndo mkome uroho uroho wa papuchi za bure mpeleke kwako on a sasa unaelekea kuishiwa pesa....
 
HII HABARI YA KUELEZEA HATUA KWA HATUA ANAVYOMBANJUA MKE WA MTU TENA AKITAJA HADI VITUO NI HATARI HATA KWAKE PIA MAANA JAMAA AKIMTAITI MKEWE ATAMTAJA MAANA KATIKA KULEWA YAWEZEKANA HATA OFISI ANAYOFANYIA KAMWELEZA BIBIE
Pombe ilivyo na nguvu huenda tayari alisharopoka zaman tu yote hayo.
 
Mwenzio anavyohangaika kumtafutia nauli mke wake,hajui hela anapataje.wewe ukajiona mjanja ukabeba tu mzigo wa watu? Utakuja kutekwa na wavuja jasho.
 
Ahsante binamu kwa kunisaidia...
Binafsi siwezi kutoa ushauri kwa Mzinifu,kinacho nishangaza ni huyo bibie hivi ajiulizi mumewe akipewa taatifa kwamba hayupo msibani wew endelea kuhudumia akili ikae Sawa.
 
Tafuta hela umalizie hizo siku ukimtoroka unakuwa umefanya nini, utatudhalilisha wanaume wenzako
 
Usichokijua huyo anayemuita mumewe ni mtumwa kama wewe, huyo sio mumewe ila ni mhanga kama wewe anahangaika kumrudisha malaya wake Dar kama wewe unavyohangaika kumlipia malaya wako Dar.
 
Back
Top Bottom