BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,801
Declaration of interest: Mimi 'natamani sana' wanawake wenye chura lakini mke wangu mtarajiwa hana chura na ninapenda sana.
Wakuu,
Nipo kwenye semina ya ndoa ambapo kwa Dar nzima dhehebu letu la Roman Catholic huwa tunafanyia Msimbazi Centre.
Mafunzo huanza Jumamosi na kuisha Jumapili, kwa msioelewa ni kwamba kwa RC huwezi kufunga ndoa bila kupitia mafunzo haya.
Kwa haraka haraka hapa, kuna wanaume na wanawake wasiopungua mia. Hivyo si chini ya wanawake hamsini wapo hapa wanategemea kufunga ndoa mwezi huu wa 12 ila cha ajabu ni kwamba hakuna hata mwanamke mmoja mwenye chura.
Wanawake wenye chura wanavutia kuwaangalia tu au kuwaonja siku moja moja.