Nipo kwenye semina ya ndoa, hamna mwanamke mwenye chura hapa

Wanawake wenye mikia wanaojielewa ni wachache, wengi hawana akili kabisa. Akili zote ziko kwenye makalio.

Yani hawana kitu cha ziada cha kutoa zaidi ya makalio. Sasa ndoa na mahusiano endelevu ni zaidi ya makalio.

Mimi napenda sana wanawake wenye makalio makubwa ila kumpata mwenye makalio makubwa na akili kichwani ni kazi sana, wengi hawana kitu kichwani kabisa. Naishia kuwatafuna tu basi.
Keel jamaaa ang Amur hawana kabs
 
Mkuu kumbe upo hapa ? Kama vile nimekujua angalia nyuma upande wa kushoto nimevaa shati jeupe la mistari ya kushuka nimenyoosha simu juu.
ukutani kwako kuna dada kafunga nywele kisogoni sio?
 
mkuu mwambie wife abust si zipo feki kukufurahisha wewe labda atafanya, lkn utakuwa umepata ,wanamke boya akifanya ivo:):):):):):):)
 
Yan hapo ndo wanaume wanaponiacha hoi mkeo ujaridhika nae kwenye upande wa chura na unataka kufunga nae ndoa ili nn kitokee mbele
Ana vigezo vyote ila wanaume tunatamaa.... utabaki ivo ivo
 
Declaration of interest: Mimi 'natamani sana' wanawake wenye chura lakini mke wangu mtarajiwa hana chura na ninapenda sana.

Wakuu,

Nipo kwenye semina ya ndoa ambapo kwa Dar nzima dhehebu letu la Roman Catholic huwa tunafanyia Msimbazi Centre.

Mafunzo huanza Jumamosi na kuisha Jumapili, kwa msioelewa ni kwamba kwa RC huwezi kufunga ndoa bila kupitia mafunzo haya.

Kwa haraka haraka hapa, kuna wanaume na wanawake wasiopungua mia. Hivyo si chini ya wanawake hamsini wapo hapa wanategemea kufunga ndoa mwezi huu wa 12 ila cha ajabu ni kwamba hakuna hata mwanamke mmoja mwenye chura.

Wanawake wenye chura wanavutia kuwaangalia tu au kuwaonja siku moja moja.
Ngoja aje dk Chale,atawachana,mtacheka had Basi.Wenye chura hawaolewagi,kazi yao kumrusharusha,na akiri zao zinanesanesa.
 
Mademu wenye chura na mademu wakali ukiwa nae jua sio wakwako pekeyako ndo maana wazuri wengi wanaishia kusimamia harusi za wenzao, ni wachache sana wenye sifa hizo wakajitunza maana kila siku wanatongonzwa na tunawajua madada zetu kwa mioyo ya huruma.
 
Hata ujirembe vipi sisi tunatazama wowowo!!
Aisee huu wimbo Leo ndio nimeelewa kwanini unapendwa
 
Back
Top Bottom