Nipo kwenye harakati za kutembea na adui wa mke wangu

Aisee!!! Zaman ilikuwa ni km aibu kumtonhoza mwanamke na kumwambia umeoa, ila kwa sasa wanawake tena ukimwambia una mke ndo anazidi kukupenda cjui kwann!
 
Bichwa kubwa bila akili ni adhabu kwa miguu.Mwanaume bila maarifa ni kero na makwazo kwa mke
 
Salaam wadau,

Naombeni ushauri,

Nilikuwa na urafiki wa kawaida na binti mmoja. Nilipokuwa kwenye harakati za kuoa alikuwa bado ni mtu wa karibu kwangu na kwa mke wangu. Ukaribu wangu kwa huyu binti ulifikia hatua hata mke wangu akamtumia kama msimamizi katika sendoff yake.

Baada ya harusi mke wangu alianza kupata maneno ya kwa majirani kuwa huyu binti alikuwa anatembea na mumeo kitu ambacho mke wangu alimpiga huyu binti na hata nilipomweleza kuwa sina uhusiano nae wa kimapenzi. Nilisikitika sana kwa mdada wa watu kupewa tuhuma na kupigwa bila ukweli na sababu za msingi.

Nimemtafuta kimya kimya na nikamweleza kama wanatusingizia uzushi wa aina hiyo na wakati hakuna kweli kwanini tusifanye kabisa? Nae kanielewa na kilichobaki ni kutafuta fursa ya muda tuu nikapige mechi.

Wadau mnashauri nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mwanachama nguli wa chadema si bure!
 
Yaani kwa sababu umesingiziwa basi na wewe umeamua kufanya kweli,acha ujinga ndugu utaharibu ndoa yako bure.Kumbuka pia kwamba zinaa ni dhambi mbaya sana.Mkuu unachotafuta wewe ni uadui na Mungu,na nakuhakikishia kwamba katika mazingira hayo,unless you repent you won't survive for too long.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matayo:5.27
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
Matayo:5.28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom