ha ha ha, sisi tunasema "Abhayege"
umefeli sasaSikupiga picha kaka. Ila uwezekano ulikuwepo, sema niliona haina umuhimu.
Karibu sana sana... Hayo ya MV Liemba yanasikitisha sana kwakweli lakini kwakuwa tuko busy na siasa... Ngoja tuwe wapole kwanzaInaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!
Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Ukoloni mamboleo hauna nafasi tena, jua kuna masharti, wakikarabati jua wataiita MV Schufteng, si ujinga huo?Zipo taarifa kuwa Ujerumani ilitaka kuifanyia matengenezo kwa gharama yao lakini hawakujibiwa na serikali yetu!
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!
Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Ingia kwenye google utafute MV Liemba utazikuta.Serikali yetu pendwa!
Kikwete aliipaisha Kigoma kuwa Dubai ya Afrika na ndivyo ilivyo.Utashangaa wana mbunge wao Zitto Kabwe ila wala hajishughulishi na maendeleo ya mkoa wake, yeye yuko bize kuhonga watu serikalini wampe umbea ili aikosoe serikali. Yaani anaacha kufanya kazi aliyoiomba kwa wananchi wake, yeye yuko bize kutafuta umbea ili watu wamsifie kuwa yeye ni mbea number One hapa nchini. Arudishwe kwao tu huko Burundi, Nkurunzinza anamsubiri kwa hamu.
Walikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!Ukoloni mamboleo hauna nafasi tena, jua kuna masharti, wakikarabati jua wataiita MV Schufteng, si ujinga huo?
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!
Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Kikwete aliipaisha Kigoma kuwa Dubai ya Afrika na ndivyo ilivyo.
Naona uelewa wako wa lugha ni mdogo, soma chanzo, nilichofanya ni muendelezo tu kwa Zitto afanye nini yeye kama mbunge wakati CCM ilishindwa na kuishia kudanganya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai, hata hivyo nimeishi Maweni na Mwanga siyo kama unavyonifikiria, na jengo linaloonekana mwisho wa barabara hiyo ni stesheni ya reli.Wacha ujinga wewe dogo, ulifika lini Kigoma? Waha wanaona bora kuvua dagaa na kuroga kuliko kuwa na maendeleo. Uliza Diamond ama Zitto watakuambia haya. Hii ndiyo barabara pekee ya pale mjini kwao, unaweza linganisha hapa na Dubai? Msimsikilize Kikwete, yule ni msanii tu.
View attachment 991645
Lile daraja ni pesa yetu ya ndani, tumelipa zaidi ya bilioni 100, na kilichijaziwa ni mkopo tena wenye riba!Walikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!
Wajerumani ndiyo walioijenga meli hiyo na kuipa jina Liemba wewe unakuja na visiasa vya vichochoroni, wao wanaipenda kwa sababu imeweza kuishi maisha ya kihistoria japo sisi tumeshindwa kuitumia kuwa kivutio cha utalii, meli iliyizamishwa kufichwa ikaibuliwa baada ya vita na inachapa kazi kuliko MV Bagamoyo meli mpya iliyofanyakazi mara mbili tu ikachakaa!
Huyo ni mkoloni mamboleo, hatuwezi kumpa upenyo wa kujipenyeza kwa mara ya pili kwa mgongo wa kukarabati meliWalikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!