Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

Unaenda kwa mshana? Anaenda kukugeuza ndondocha. We humfaham mshana. Unaenda kuwa ndondocha au msukule hivi hivi.

Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
 
Ushauri wako ni nini sasa? Ikarabatiwe au inunuliwe mpya?

Naona umeleta lawama tu bila kua na ushauri au solution.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom