Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 61,943
- 156,092
tehteh Tizii ya viwonder
unataka kuunganisha ulozi wa kigoma na pwani?Kushiba pilau? Nilishibie wapi pilau mwenzako! Nimetoka kijijini naelekea Dar kuzisaka kazi, na ndugu yangu Mshana Jr Ameniambia atanipokea.
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!
Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
kwa hiyo hoja yako nini?tufufue meli chakavu au tununue mpya?Nani anataka watu wafe? Acha hayo!
ILA ULIPIGA PICHA?Nimeshapanda treni kaka, isitoshe simu yangu inashindwa kuweka picha.
Ama Nkundusi Ipo KasuluBuzebazeba.
Newman
Katonga,Kibirizi,Shede, Mlole au MasangaAma Nkundusi Ipo Kasulu
Igasulu MurusiKatonga,Kibirizi au Masanga
MatyazoIgasulu Murusi
Gungu kwa Wayege.Igasulu Murusi
MtamaMatyazo
Ifora 😁😁Igasulu Murusi
Kamara and KatongaMtama
Muhira Kasulu Murusi