Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,079
11,711
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
 
mv
4717365626_6e54e86c2b_z.jpg
 
Zipo taarifa kuwa Ujerumani ilitaka kuifanyia matengenezo kwa gharama yao lakini hawakujibiwa na serikali yetu!
 
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Where is the photo?
 
Hiyo meli mwaka huu ina fikisha miaka 106 ni wakati muafaka ikae makumbusho ya Taifa tusingojee mpaka ije ilete maafa kisa tuu ina historia ndefu.
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom