Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

Naona uelewa wako wa lugha ni mdogo, soma chanzo, nilichofanya ni muendelezo tu kwa Zitto afanye nini yeye kama mbunge wakati CCM ilishindwa na kuishia kudanganya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai, hata hivyo nimeishi Maweni na Mwanga siyo kama unavyonifikiria, na jengo linaloonekana mwisho wa barabara hiyo ni stesheni ya reli.


Nimeishi Kigoma sana na hizo sehemu zote ulizoishi nimekaa sana. Cha msingi, Kigoma hakuna cha maana pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom