Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,335
Likes
124,626
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,335 124,626 280
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Karibu sana sana... Hayo ya MV Liemba yanasikitisha sana kwakweli lakini kwakuwa tuko busy na siasa... Ngoja tuwe wapole kwanza

Jr
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,437
Likes
4,956
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,437 4,956 280
Bora ikae tu ibaki katika kumbukumbu kuliko itumike na ilete maafa,,,,,,,,meli ina miaka 100+ halafu sidhani kama ina matunzo mazuri.
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
Zipo taarifa kuwa Ujerumani ilitaka kuifanyia matengenezo kwa gharama yao lakini hawakujibiwa na serikali yetu!
Ukoloni mamboleo hauna nafasi tena, jua kuna masharti, wakikarabati jua wataiita MV Schufteng, si ujinga huo?
 
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,172
Likes
2,418
Points
280
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,172 2,418 280
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!

Utashangaa wana mbunge wao Zitto Kabwe ila wala hajishughulishi na maendeleo ya mkoa wake, yeye yuko bize kuhonga watu serikalini wampe umbea ili aikosoe serikali. Yaani anaacha kufanya kazi aliyoiomba kwa wananchi wake, yeye yuko bize kutafuta umbea ili watu wamsifie kuwa yeye ni mbea number One hapa nchini. Arudishwe kwao tu huko Burundi, Nkurunzinza anamsubiri kwa hamu.
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
2,929
Likes
1,971
Points
280
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
2,929 1,971 280

Kikwete aliipaisha Kigoma kuwa Dubai ya Afrika na ndivyo ilivyo.
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
2,929
Likes
1,971
Points
280
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
2,929 1,971 280
Ukoloni mamboleo hauna nafasi tena, jua kuna masharti, wakikarabati jua wataiita MV Schufteng, si ujinga huo?
Walikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!
Wajerumani ndiyo walioijenga meli hiyo na kuipa jina Liemba wewe unakuja na visiasa vya vichochoroni, wao wanaipenda kwa sababu imeweza kuishi maisha ya kihistoria japo sisi tumeshindwa kuitumia kuwa kivutio cha utalii, meli iliyizamishwa kufichwa ikaibuliwa baada ya vita na inachapa kazi kuliko MV Bagamoyo meli mpya iliyofanyakazi mara mbili tu ikachakaa!
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,518
Likes
2,211
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,518 2,211 280
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!

Hivi huyu mbilikimo Zitto ana majukumu gani na watu wa jimbo lake? Mbona hajihusishi na maendeleo ya watu wake yuko bize tu na mihemko yake isiyo na tija kwake wala nchi yetu? Wana Kigoma mmeliwa, jamaa yenu anawaangusha mno.
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,518
Likes
2,211
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,518 2,211 280
Kikwete aliipaisha Kigoma kuwa Dubai ya Afrika na ndivyo ilivyo.

Wacha ujinga wewe dogo, ulifika lini Kigoma? Waha wanaona bora kuvua dagaa na kuroga kuliko kuwa na maendeleo. Uliza Diamond ama Zitto watakuambia haya. Hii ndiyo barabara pekee ya pale mjini kwao, unaweza linganisha hapa na Dubai? Msimsikilize Kikwete, yule ni msanii tu.
ujiji-jpg.991645
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
2,929
Likes
1,971
Points
280
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
2,929 1,971 280
Wacha ujinga wewe dogo, ulifika lini Kigoma? Waha wanaona bora kuvua dagaa na kuroga kuliko kuwa na maendeleo. Uliza Diamond ama Zitto watakuambia haya. Hii ndiyo barabara pekee ya pale mjini kwao, unaweza linganisha hapa na Dubai? Msimsikilize Kikwete, yule ni msanii tu.
View attachment 991645
Naona uelewa wako wa lugha ni mdogo, soma chanzo, nilichofanya ni muendelezo tu kwa Zitto afanye nini yeye kama mbunge wakati CCM ilishindwa na kuishia kudanganya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai, hata hivyo nimeishi Maweni na Mwanga siyo kama unavyonifikiria, na jengo linaloonekana mwisho wa barabara hiyo ni stesheni ya reli.
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
Walikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!
Wajerumani ndiyo walioijenga meli hiyo na kuipa jina Liemba wewe unakuja na visiasa vya vichochoroni, wao wanaipenda kwa sababu imeweza kuishi maisha ya kihistoria japo sisi tumeshindwa kuitumia kuwa kivutio cha utalii, meli iliyizamishwa kufichwa ikaibuliwa baada ya vita na inachapa kazi kuliko MV Bagamoyo meli mpya iliyofanyakazi mara mbili tu ikachakaa!
Lile daraja ni pesa yetu ya ndani, tumelipa zaidi ya bilioni 100, na kilichijaziwa ni mkopo tena wenye riba!
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
Walikuambia hivyo! Mbona wamejenga daraja umeliita Mfugale!
Wajerumani ndiyo walioijenga meli hiyo na kuipa jina Liemba wewe unakuja na visiasa vya vichochoroni, wao wanaipenda kwa sababu imeweza kuishi maisha ya kihistoria japo sisi tumeshindwa kuitumia kuwa kivutio cha utalii, meli iliyizamishwa kufichwa ikaibuliwa baada ya vita na inachapa kazi kuliko MV Bagamoyo meli mpya iliyofanyakazi mara mbili tu ikachakaa!
Huyo ni mkoloni mamboleo, hatuwezi kumpa upenyo wa kujipenyeza kwa mara ya pili kwa mgongo wa kukarabati meli
 
Forum statistics

Threads 1,250,081
Members 481,224
Posts 29,720,333