Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Weka picha tuione woote
 
MV Liemba ililetwa na wajerumani na Mvi Usoga ambazo moja ilikuwa Tanganyika na nyingine Victoria. Sasa Usoga nadhani ilisha dead au ipo makumbusho ambayo hayana watazamaji. Liemba ingewekwa kwenye jumba la makumbusho pale kigoma ili iheshimiwe kama nuru ya mgerumani. Usoga pia ni nuru ya wagerumani. Mwingereza alileta victoria yawezekana alileta na nyingine sababu sna research hivyo siwezi danganya. Liemba ipumzike na iwe kivutio cha watalii wa ndani na nje as well as Victoria na nyangumi kama haikuchukuliwa na Kenya wakati ule wa mfarakano. Nyangumi ndo ilikuwa inabeba mafuta toka badarini tu BK, Kisumu, Kampala. Ipo wapi nyangumi yetu???
 
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
acha uzwa uzwa
Yaani unasifia kabisa meli kongwe unataka watu wafe?
Ningekuona wa maana ungelilia meli mpya
 
MV Liemba ililetwa na wajerumani na Mvi Usoga ambazo moja ilikuwa Tanganyika na nyingine Victoria. Sasa Usoga nadhani ilisha dead au ipo makumbusho ambayo hayana watazamaji. Liemba ingewekwa kwenye jumba la makumbusho pale kigoma ili iheshimiwe kama nuru ya mgerumani. Usoga pia ni nuru ya wagerumani. Mwingereza alileta victoria yawezekana alileta na nyingine sababu sna research hivyo siwezi danganya. Liemba ipumzike na iwe kivutio cha watalii wa ndani na nje as well as Victoria na nyangumi kama haikuchukuliwa na Kenya wakati ule wa mfarakano. Nyangumi ndo ilikuwa inabeba mafuta toka badarini tu BK, Kisumu, Kampala. Ipo wapi nyangumi yetu???
Jocasta njoo huku!
 
Hiyo meli mwaka huu ina fikisha miaka 106 ni wakati muafaka ikae makumbusho ya Taifa tusingojee mpaka ije ilete maafa kisa tuu ina historia ndefu.
Pale ilipo inaweza kugeuzwa hoteli na vyumba kugeuzwa kuwa nyumba ya wageni kwa bei nafuu, Hii ingeweza kuiingizia halmashauri ya mji wa Kigoma/Ujiji kipato cha uhakika. Ubunifu huu uko katika nchi nyingi za ulaya, kwa mfano mjini Stockholm, kuna eneo linaitwa "Skeppsholmen" kuna vyumba vya meli vinakodishwa kama nyumba za wageni.
 
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Huu Uzi Ungenoga zaidi kama ungetupia na ka picha angalau
 
Pale ilipo inaweza kugeuzwa hoteli na vyumba kugeuzwa kuwa nyumba ya wageni kwa bei nafuu, Hii ingeweza kuiingizia halmashauri ya mji wa Kigoma/Ujiji kipato cha uhakika. Ubunifu huu uko katika nchi nyingi za ulaya, kwa mfano mjini Stockholm, kuna eneo linaitwa "Skeppsholmen" kuna vyumba vya meli vinakodishwa kama nyumba za wageni.
Kweli kabisa inaweza uzwa ikafanywa Hotel la kitalii.
 
Kuuzwa "HAPANA" Mali ya urithi haiuzwi kamwe!... Ni kuikarabati tu na kuitunza, ingekuwa hivyo basi yale magofu ya mji mkongwe Zanzibar, Kilwa Bagamoyo n.k yangeisha pigwa greda zamani sana.
 
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Hii.meli ni kivutio cha watalii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom