Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
Siku ikiwamwaga utaanza sikia oooh meli ilikuwa imekwisha muda wake toka mwaka 1990. Utasiki maneno mengi na watu kuvuliwa uongozi over hawakuwa wanaiona
 
Inaniuma sana mimi kama mwananchi mzalendo kabisa ninayeipenda Tanzania yangu na vyote vitu vilivyomo kwa dhati.
Leo hii meli kongwe, kongwe sana, Afrika mashariki na kati! "Imetelekezwa hapa pembezoni mwa ziwa Tanganyika"
Mimi najiuliza, ni hela hamna? Uongozi/Usimamizi mbovu? Au nini tatizo?
Ni ajabu kweli, mpaka ndani yameanza kuota majani, Ni aibu!

Nimepata ubuyu hapa mjini kuwa, Burundi inajiandaa kumwaga meli za kutosha hapa ziwa tanganyika!
Stay Tune!
Ni katika safari yangu ya kuja dar kutafuta hela na maisha walau mazuri kiasi.
Kaka Mshana Jr Ninakuja mdogo wako, nipokee kwa mikono miwili, japo wengi walinibeza na kunitukana hapa Jamvini, Asante.
Nakuja tufanye kazi ndugu!
kigoma ulifata unga wa miti(mizizi)?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom