Nipo hapa mkemia wa dhahabu, Kaham, Geita, Kakola N.K

Chizimtoto

Member
Mar 15, 2019
10
8
》Nitakupa Ushauri jinsi yakuanza/kufanya kazi ya uzaliahaji wa dhahabu katika faida.

》Nita kusimamia shughul zote za uzalishaji
(vat leaching) na elution plant mpaka pale product (gold dore) itakapo kuwa tayari kuuzwa.

》Nitakupatia (cost estimation list) gharama zote zitakazo hitajika katika kufanya process, pia estimation ya kiasi cha dhahabu tutakacho zalisha na bei yake kwa wakati huo ambapo itatoa picha ya faida itakayo patikana.

》Nitakusaidia kupata mdhamini atakaye kupatia madawa ya kuozesha udogo (leaching) pamoja na pesa za gharama zote za uzalishaji, hii ni baada ya kupima rundo lako (ore) na kukuthibitishia kuwa lina faida.

》 msaada wa kuthaminisha rundo kama unalihitaj kulinunua na kukuthibitishia kama linafaida. Pia kukuonyesha wapi tunaweza kununua rundo (ore).

Call 0744577925
Mkemia
 
Chizimtoto,
Kwa hali ya kawaida, lundo moja linaweza kufikia bei gani kununua na gharama za kuchambua zikoje na faida kiasi gani? Najua ni vigumu sana kukisia lakini jaribu kutoa mfano halisi ili mtu apate picha.
 
Let's say mtu anaamua kukupa capital, yaani badala ya wewe kuwashauri watu namna ya kupiga pesa kutokea kwa gold, wewe na ujuzi wako ndo nakuwa maboss.... Itahitajika kama kiasi gani kuset a sound business? Yaani at least kutengeneza gram 500 kwa mwezi?
 
Hongera sana sana! Tutakucheki utusaidie kwa Kakola!
 
Let's say mtu anaamua kukupa capital, yaani badala ya wewe kuwashauri watu namna ya kupiga pesa kutokea kwa gold, wewe na ujuzi wako ndo nakuwa maboss.... Itahitajika kama kiasi gani kuset a sound business? Yaani at least kutengeneza gram 500 kwa mwezi?
Kuna options kadhaa kulingana na eneo ulilopo...
Mosi, unaweza kununua rundo la udongo wenye dhahabu, almaarufu marudio. Hii ni baada ya kujiridhisha na laboratory analysis ya rundo hilo kujua aina ya PPM zilizopo, gold, copper/sulphides. Baada ya hayo majibu, tunafanya mahesabu ya chemicals zitakazotumika ku recover hiyo gold kutoka kwenye rundo husika.
Kama nilivyotangulia kusema, inategemea na sehemu ulipo mteja, kuna maeneo inabidi kukodisha Leach Plant ya kuozeshea but kuna sehemu inabidi ujenge plant yako, kutokana na sababu mbalimbali.

Pili, unaweza kuanza na uchimbaji wa duara halafu ukasaga mawe kwenye crusher, then ukafanya amalgamation (kusugua kwa mercury) wakati unakusanya rundo kutoka kwenye waste materials (tailings) ili baadaye uje uozeshe (leaching). Hii njia ya pili ni bora zaidi coz unajikusanyia rundo wewe mwenyewe na unauhakika na ubora wa materials yako. Hii njia inachukua muda kidogo ukilinganisha na ya kwanza but ni ya uhakika zaidi, yaani slow but sure.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa msaada/huduma... karibu inbox/PM au kwenye email yangu:
gilmimineralconsult@gmail.com

Uchumi wa dhahabu ni dhahiri, ukifanywa kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GwamahalaJR,
Asante Sana tuna marudio tunayauza, yako Kakola namba Tisa. Karibu sana au tutafutie wateja kwenye network zako. Rundo ni zaidi ya lorry Tisa za 15 tons approximately
 
Kuna options kadhaa kulingana na eneo ulilopo...
Mosi, unaweza kununua rundo la udongo wenye dhahabu, almaarufu marudio. Hii ni baada ya kujiridhisha na laboratory analysis ya rundo hilo kujua aina ya PPM zilizopo, gold, copper/sulphides. Baada ya hayo majibu, tunafanya mahesabu ya chemicals zitakazotumika ku recover hiyo gold kutoka kwenye rundo husika.
Kama nilivyotangulia kusema, inategemea na sehemu ulipo mteja, kuna maeneo inabidi kukodisha Leach Plant ya kuozeshea but kuna sehemu inabidi ujenge plant yako, kutokana na sababu mbalimbali.

Pili, unaweza kuanza na uchimbaji wa duara halafu ukasaga mawe kwenye crusher, then ukafanya amalgamation (kusugua kwa mercury) wakati unakusanya rundo kutoka kwenye waste materials (tailings) ili baadaye uje uozeshe (leaching). Hii njia ya pili ni bora zaidi coz unajikusanyia rundo wewe mwenyewe na unauhakika na ubora wa materials yako. Hii njia inachukua muda kidogo ukilinganisha na ya kwanza but ni ya uhakika zaidi, yaani slow but sure.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa msaada/huduma... karibu inbox/PM au kwenye email yangu:
gilmimineralconsult@gmail.com

Uchumi wa dhahabu ni dhahiri, ukifanywa kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeiva kaka....Mchenjuaji/Metallurgical Eng/ Mineral Processing Eng
 
Mkuu naomba niwasiliane na wewe
 
Back
Top Bottom