Nipo Dar, nina Tsh. Milioni 30. Nifanye biashara gani?

Huko ulikotoka nazo rudi kaendelee kufanya ulichokuwa unafanya walau ziongezeke.
Hiyo ni hela ya mboga tuu ukiwa dar. Mpe mkeo aweke kwenye pochi atakuwa ananunua mboga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu zuri na sahihi kuliko yote ni hili

Endelea na biashara hiyi hiyo iliyokufanya upate hizo milioni 30..

Sababu unaijua tayari nje ndani na una uzoefu nayo
 
Wakuuu ktk kuhaso haso mkoani huko nimekusanya milioni30 sjui nifanye biashara gani nahitaji mawazo yenu wakuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm tukawekeze kwenye digital money mpya ambayo imeanzishwa tanzania inaitwa TANCOIN hadi mwaka kesho tutakuwa mabilionea maana nasikia kufikia mwaka kesho itakuwa na thamani1TANCOIN=2000$ na tancoin moja inauzwa 100,000 tsh,achana na mambo ya bitcoin njoo pm tukainvest mkuu
 
Unajuwa ni biasharagani yeye hajaweka wazi alizipataje kam jambazi je kwaiyo aendelee

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilipata ktk biashara nkawa maweka faid ktk account kwa muda kidgo so hiyo 30 nibimtaji na faida iliyopatikana ktk hiyo biashara..nibiashara ya duka la jumla la vyakula ngano sukar sabuni biscuit chumvi juis sasa biashara ilikua mbaya sana imagine wilaya ya population ya wakazi ni ndogo alafu wauzaji wa jumla mnaongezeka alafu wateja ni wale wale afu hao wauzaji wapya wanashusha bei fikiriria mfuko wasukari unauuza jumla65000 alafu faida unapata400, sasa hapo lini utatoboa ndio maana nataka kuchange biashara nomove ktk biashara nyingne


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu zuri na sahihi kuliko yote ni hili

Endelea na biashara hiyi hiyo iliyokufanya upate hizo milioni 30..

Sababu unaijua tayari nje ndani na una uzoefu nayo

Mkuu biashara niliokua naifanya ina ushindani mkubwa sana kwa sehemu nliokuepo fikiria unaleta mzigo wa milioni10 alafu ktk huo mzigo wote faida yake utapata150000 mzigo unakaa mwezi mzima na haualizi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kufanya hichohicho kilichokupatia hizo hela...

Mkuu iliyonipa hizo pesa imekua biashara kichaa maana sehemu nilipokuepo ni wilayani yaani population ya watu ni ile ile alafu wauzaji wa jumla wa aina ya biashara nlokua nafanya waongezeke tena wanashusha bei imagine mfuko wa sukar uuze 60000 alafu unapata faida300 yaan kitu cha thamani kubwa unapata faid ya hivo fikiria unaleta mzgo wa 10m alafu huo mzgo wote faida150000 tena huipati yote na mzgo utaumaliza baada ya mwezi mkuu hapo kuna kutoboa kweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo milion 30 umezipata vp? km umezipata kwa kaz halali, bas endelea na iyo kaz utafanikiwa sana, maana sio kila mwenye ela anawea kuwa mfanyabiashara,

Mkuu nimezipata kihalali sasa ktk hiyo biashara nlokua nafanya imeharibika so nataka kubadili ndo nimekuja huku kupata taarifa sahihi..maana biashara nlokua naifanya mwanzo imagine unaleta mzigo wa 10m alafu faida yake ktk mzigo wote ni 150000 tena mzigo unakaazaid ya mwezi sasa mkuu hapo lini utatoboa kimaisha ona unauza mafuta ya kula ndoo ya lita10 unaiuza30000 alafu unapata150


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom