Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Ccm imeharibu future na fikira za watu wa taifa hili kwa sasa. Usitarajie kupata watu wenye mawazo na hoja bora wakati wapumbavu na wahuni ndo walikokalia mamlakaMimi nimejiunga Jf juzi tu lakini muda mwingi nautumia kusoma nyuzi za zamani..
Zilikuwa zina madini mengi sana... Saivi watu wanachangia nyuzi bora tu na wao waonekane wapo