Nipo Dar, nina Tsh. Milioni 30. Nifanye biashara gani?

Mimi nimejiunga Jf juzi tu lakini muda mwingi nautumia kusoma nyuzi za zamani..

Zilikuwa zina madini mengi sana... Saivi watu wanachangia nyuzi bora tu na wao waonekane wapo
Ccm imeharibu future na fikira za watu wa taifa hili kwa sasa. Usitarajie kupata watu wenye mawazo na hoja bora wakati wapumbavu na wahuni ndo walikokalia mamlaka
 
Back
Top Bottom