Nipo CLINIC nimemleta wife mama K hatua ya kwanza wote kupima VVU

Hakika, Maana sometimes mtu akisalula nguo hukumbuki kabisa kuvaa kinga, sijui huwa mnatufanyia kusudi na kama ushapiga vitu vyako kichwani asubuhi unabaki umeshika kichwa.

Maana kuloweka nje nje

unapokua vyombo ndo hatari zaidi kuliko kawaida mzeee nimecheka
 
Hakika maana kuna incidence moja ilinitokea, asubuhi nilijilaumu sana but thanks God baada ya miaka 2 kwenda kupima nikakutwa niko salama.

Ila ndio hivyo hatukomi, tamaa ya huko chini inatumaliza sana, maana unaweza fanya mwishoni kabisa unavua ili kuwekeza kukojoa sijui huwa tunatafuta nini aise
 
miaka miwili yote ??? Mi kila baada ya sixmonths lazima nijitoe fahamu japokua inasemekana hao virus sio lakini...!
 
Wife ni mjamzito, Kibaya zaidi sijawai pima HIV na nimemaliza chuo mwaka Jana nilidet na mtoto m1 sikuwai pima aisee na huyu nae sijui yukoje.. Nawaza nikimbie? Nikikimbia hatohudumiwa hapa nahitaji ushauri wenu kabla sijatimua mbio..
Umekosa cha kuandika? Mambo yako binafsi unataka ushauri?????
 
Kwa nini usitoe udhuru kwa mai waifu wako ili kwanza upate nafasi ya kwenda kujicheki aloni.
 
Hivi wale wapimaji huwa hawadanganyi kweli? Wife alipokuwa mjamzito ktk hatua za awali za kliniki alikuwa anahudhuria peke yake kutokana na Mimi kubanana na majukumu,baadae nikawa naambatana nae. Siku ya kwanza kuambatana nae nikakutana na vijamaa pale hospitali vinataniana na wife vinamwambia kumbe baba ndo huyu hivi yeye si hatukumcheki afya? Inabidi tufanye hivyo huku vinachekacheka,kamoja kakasema acha kumpa presha brother. Yaani nilivicheki kwa jicho Kali,ila nikabaki njia panda kwamba hivi kweli Mara zote Hawa wapimaji wanasema ukweli au kuna wakati wanaongopa ili kumfariji mhusika?
 
Duuh hii ni Ngumu mkuu ukiambiwa upo poa jua ni kweli.. Wanakuja watu kupima ambao kimsingi kama ni kweli wanaonea huruma wasingewaambia ukweli.. Lakini ukimficha mwasirika humsaidiii unamuua...
 
Daaa hili jambo siyo jepesi jepesi kaka mhuuuu!
 
Noma sana kuna mwana Alikuja kuchukia dawa tukampa na Ushauri kabisa ila nimetoka kazini namkuta nje ya Hospital amekaa tu kainamisha kichwa chini... Niliumia sana mkuu mpaka nkasema bora asingepewa majibu ya kweli..Mwana kijana mwenye nguvu bado..
 
Daaa! Ila ni kama ulivosema ni vema mtu akapewa ukweli ila kikubwa counseling ifanyike kisawasawa mana ndo nguzo kuu ya kurudisha mtu mtarini. Ikifeli hiyo hapo ndo huwa unakuwa mwisho Wa mtu
 
Sasa mtu kama yule akiamua hatumii dawa alizopewa na stress zile hachukua muda mbonaa..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom