Nipo chuo mwaka wa pili,nasomea ualimu wa sanaa,nataka kuacha chuo

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
177
609
Hellow wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hivi hapa nchini,Nipo mwaka wa pili sasa semester yangu ya tatu.Nasomea ualimu wa masomo ya Arts yaani HIstory na Geography.
Kiukweli niliamua kusomea ualimu kwa lengo la kupata ajira,kwani ukiangalia mimi ni mtoto wa maskini nimesoma shule ya kata, kimbilio langu lilikuwa ni ualimu ili niweze kuajiriwa nikomboe familia yangu.

Hivi juzi waziri wa elimu amesema srikali haitaajiri walimu wa masomoya sanaa, na nikiangalia mbele yangu kuna Batch kama tatu hivi ambazo zitasota mtaani, Sasa mimisitaki shida na kujipa presha ,hii ndo semester yangu ya mwisho ,nikifanya UE mazima sirudi tena chuo maana lengo langu limevurugika hata kama nikiendelea kusoma najipotezea muda tuu.
Nilisomea ualimu ili niajiriwe sio kujiajiri, sikujiandaa kujiajiri kupitia ualimu,

Sitaki shida na ndalichako, sitaki shida na magufuli, Narudi zangu kijini waridhike wao, maana furaha yao ni kuona vijana tunaangaika mtaani.
NB:jueni kwamba asilia kubwa ya vijana wanaokimbilia kusomea ualimu ni watoto wa maskini
 
Maadamu umeshaanza, maliza. Utajua huko mbele the way out! hata nje ya nchi unaweza tafuta kazi. Mashrika binafsi , shule binafsi etc
 
Acha tu vyeti vya degree havina maana ukisha vipata vinakuongezea presha ya kutafta kazi elimu uliyopata iyo miaka miwili inatosha kujiari kabisaas
 
Hellow wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hivi hapa nchini,Nipo mwaka wa pili sasa semester yangu ya tatu.Nasomea ualimu wa masomo ya Arts yaani HIstory na Geography.
Kiukweli niliamua kusomea ualimu kwa lengo la kupata ajira,kwani ukiangalia mimi ni mtoto wa maskini nimesoma shule ya kata, kimbilio langu lilikuwa ni ualimu ili niweze kuajiriwa nikomboe familia yangu.

Hivi juzi waziri wa elimu amesema srikali haitaajiri walimu wa masomoya sanaa, na nikiangalia mbele yangu kuna Batch kama tatu hivi ambazo zitasota mtaani, Sasa mimisitaki shida na kujipa presha ,hii ndo semester yangu ya mwisho ,nikifanya UE mazima sirudi tena chuo maana lengo langu limevurugika hata kama nikiendelea kusoma najipotezea muda tuu.
Nilisomea ualimu ili niajiriwe sio kujiajiri, sikujiandaa kujiajiri kupitia ualimu,

Sitaki shida na ndalichako, sitaki shida na magufuli, Narudi zangu kijini waridhike wao, maana furaha yao ni kuona vijana tunaangaika mtaani.
NB:jueni kwamba asilia kubwa ya vijana wanaokimbilia kusomea ualimu ni watoto wa maskini
Hapana mkuu we malizia tu palipobakia ila ujipange namna ya kuingia mtaani na mtazamo mpya wa kujiajiri usisubiri kuajiriwa
 
Malizia chuo kijana halafu uendelee na mipango yako ya ziada. Una muda wa kujiandaa na maisha ya kujiajiri. Ondoa wazo kuwa hukupanga kujiajiri kwasababu watu wengi nchi hii hawakupanga kujiajiri ila ni baadae hali halisi ndio imewafanya wajiongeze.
 
Some thing is better than nothing. Hakuna tamko lililotoka kuhusu kuyafuta masomo ya sanaa nchini.
Kwani hapa panazungumziwa kufuta masomo ya sanaa au kufutwa ajira kwa walimu wa Sanaa!!!
 
Mkuu maliza chuo then tafuta mji mdogo, kodi chumba ufundishe nursery au day care. Hiyo itakulipa na hautataka tena ajira
 
Dah....kiukwel inauma na inaker san sasa na ss wenye certificat za ualimu tutishia wap jmn mbn maish yashatupig bao jmn ,,,,najut kwnn nmesom maan ctakuw tofaut na amby ajasom kbx ,,,,.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Malizia kwanza ndugu yangu, mkopo c wanakupa? Fanyia kitu hiyo hela ili upate pa kuanzia ukiingia mtaani
 
acha hizo mwanangu, njoo tumalize chuo afu mambo mengine yatajulika mbele kwa mbele, bora hata wew mana mim napiga kiswahili na history chuo flan hapa, lakn naamini kila kitu ni mbele kwa mbele namuachia Mungu.
 
Maliza chuo upate Elimu kichwani ikusaidie baadae utakuja kujilaumu baada ya kufanikisha kila kitu huku umekosa vyeti ingawaje umejiajiri..hata hivyo siasa zinabadilika watakuja sana na kama unataka kusoma mbele utashindwa kusoma kwa kuwa ulikatisha maji ushayavulia nguo sharti uyaoge..
 
Cha muhimu maliza chuo upate cheti,mwaka 2019/2020 zitamwaga ajira nyingi sana tena nyie ndio mtakuwa mnabembelezwa kuajiliwa.
 
Back
Top Bottom