Nipo Arusha kikazi,wapi napata nyama pori halali,mbichi au iliyopikwa ??

Leo hii unalalamika huna pesa mfukoni pamoja na ukweli kwamba mshahara wako ni shilingi 1,800,000 kwa mwezi. Leo hii upo Palace Hotel hapo Arusha na unatafuta nyama ya porini upate kula. Something is wrong somewhere!
Kumbe ndio huyo mwenye mia mfukoni?
 
Leo hii unalalamika huna pesa mfukoni pamoja na ukweli kwamba mshahara wako ni shilingi 1,800,000 kwa mwezi. Leo hii upo Palace Hotel hapo Arusha na unatafuta nyama ya porini upate kula. Something is wrong somewhere!
hehehe nimecheka sanaaa mkuu, nchi ya viwonder hii full kuigiziana, kwann tununue bongo movie wakati movie za bure zinapatikana JF
 
mkuu njoo hapa oldonyo sambu kwenye mbuga nyeupe kama vile unaelekea namanga tule nyani unapata kwa bei rahis unapata mkia na mapaja kwa bei fresh tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom