JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 471
Karibuni kwa taarifa njema nielekeze tu nichome lita fasta
Palace hotelUpo maeneo gani mkuu,
Leo hii unalalamika huna pesa mfukoni pamoja na ukweli kwamba mshahara wako ni shilingi 1,800,000 kwa mwezi. Leo hii upo Palace Hotel hapo Arusha na unatafuta nyama ya porini upate kula. Something is wrong somewhere!Palace hotel
Kumbe ndio huyo mwenye mia mfukoni?Leo hii unalalamika huna pesa mfukoni pamoja na ukweli kwamba mshahara wako ni shilingi 1,800,000 kwa mwezi. Leo hii upo Palace Hotel hapo Arusha na unatafuta nyama ya porini upate kula. Something is wrong somewhere!
hehehe nimecheka sanaaa mkuu, nchi ya viwonder hii full kuigiziana, kwann tununue bongo movie wakati movie za bure zinapatikana JFLeo hii unalalamika huna pesa mfukoni pamoja na ukweli kwamba mshahara wako ni shilingi 1,800,000 kwa mwezi. Leo hii upo Palace Hotel hapo Arusha na unatafuta nyama ya porini upate kula. Something is wrong somewhere!