JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 471
Mpenzi msomaji,ikiwa ni wiki sasa nipo kikazi Arusha,mkoa wenye baridi na utulivu swadakta kabisa kama ujuavyo ''Tembea uone" nimegundua ya kua
1. Sio kila sehemu za kutembea kwa maringo kama ungalimited,uswahilini,daraja 2 hasa mida ya saa 2,3 na kuendelea
2. Baa nyingi za huu zimejaa wambulu,warangi,wanyaturu na wanyiramba na wanapakia bia balaa na ukizubaa wanaweza hata kukuuza mzima mzima
3. Kuna sehemu ya kuitwa kwa morombo ni maarufu kwa kuchoma nyama ni kama kikundi kimepanga mistari 2 huku na huku barabara katikati hapo mbuzi kwa siku wanachinjwa hata 800
4. Ukitaka kuanza maisha huku yakupasa ufikie uswahili na sio njiro,sanawari na sehemu nyingine za kitajiri wafaa
Nipo kwa morombo nasubiria mbuzi kidali+Salala kichomwe niendelee kunyonya taratibu
Kama ulishawahi kutembea maeneo haya hebu tupe udukuzi wako ulivyoudukua mkoa huu yaliyomo humu ndani
KARIBUNI SANA