Nipigie..... Darling Nipigie.....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,168
36,056
Pale maongezi yanaponoga na kufanya umbali wa maili maelfu kuwa kama chumbani na chooni kwenye chumba cha master....

Dadii: Huko uliko unafanya nini
Sijui mpenz we umeshakula
Napata shauku ya kukuona
Kwani tangu nilipotoka.......

Nataka nirudi nyumbani, nikupe stori fulani, tukiwa pamoja mezani .....iiihhh

Kwanza nipigie, Kasinde nipigie.... tupigianee
Nipigie, Kasie wangu nipigie.... nina kazi jikoni
Nipigie Kasinde nipigie .....tupigianee
Nipigie honey nipigie........

Mimi na wewe ni kitu kimoja... ooh kimojaa
Mimi nawe lengo ni moja, mimi nawe lengo ni moja....

Kasie: Sema dadii unasemaje. ....
Ndio naweka msosi mezani
Ila nyumbani usichelewee
Nina hamu na hiyo stori
Story yenyewe ya nani....
Usije ni zuga mezani....
Maana nnavotamani (nna hamu na weweee....)uuuhhhh...

Nipigie.... dadii nipigie..... tupigianee
Nipigie.... darling nipigie.... (in Stara Thomas voice....)

What a vacation...... nimeanza likizo na kuanza ku-attend clinic..... poor Kasie.

Dadii nipigie..... tuonane leo jioni pale kiotani.... Muah!!! :)
 
Maswali matatu ya kipumbavu ya wanawake wanapopiga simu
UKO WAPI?

UNAFANYA NINI?

NA NANI?

Haya maswali siyapendagi ukiumliza niko wapi mie nipo mortuary shenzi type
 
Thank you dadii for your wake up call..... I get your voice clearly ..... It was 1353......
About the wired money .... worried someone is using your money badly..... intend to invest later or soon.....

Aii laaab yuuuuu.... mmuaah!!!;)
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom