nipepo kaniingia au nn?

maimatha

Senior Member
Mar 2, 2013
129
161
hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa hajanitafuta zaidi ya leo kanisms hi! nifanyeje nimejarbu kujizuia nahisi nateseka sana juu yake nampenda haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana. ushaul jmn
 
Mapenzi "yamekuchanginyi"pole sana,ila kwa vile umeishayavulia nguo yaoge.
 
Hongera kwa kupenda shosti. Huo ni uamuzi wa busara . Komaa na foleni mwaya, ndo daslamu yetu hiyo.
 
Mbona unajitafutia matatizo hivo?..au ndio wa kwanza kukugegeda ukajua huyo ndio mwisho wa lami, toka ndani ya box!..huyo tayari hakufai,utajisababishia presha bure...au ulimpata kwa tabu?...TUNZA UTU WAKO,kama unaitamani hiyo foleni nenda na usirudi kutulilia hapa kwa matatizo yatakayosababishwa na hili....dont be cheap in that way...
 
Just keep on waiting.,foleni ina watu wachache kama 50 hivi na anahudumiwa wa kwanza!
 
Unaomba ushauri wa nini tena wakati umesema "haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana".

aisee! Yan anataka kujipeleka mwenyewe kwa mdomo wa mamba!? Mh! Kweli kpendacho roho! Loh!
 
Mbona unajitafutia matatizo hivo?..au ndio wa kwanza kukugegeda ukajua huyo ndio mwisho wa lami, toka ndani ya box!..huyo tayari hakufai,utajisababishia presha bure...au ulimpata kwa tabu?...TUNZA UTU WAKO,kama unaitamani hiyo foleni nenda na usirudi kutulilia hapa kwa matatizo yatakayosababishwa na hili....dont be cheap in that way...

umenena sawa mkuu...ila sikio la kufa halisikii dawa
 
nahisi nimerogwa kuna wakati nafuta namba yake lakin naitafuta tena mimi mwenyewe daaah!!!!
 
Back
Top Bottom