Ila usiogope kufa, unaweza kukaa chini ya ardhi kwa miezi 3 kama jamaa wa chile? au jamaa zetu wa New zealand? Je uko tayari kukaa porini kwa muda usiojulikana?
Nakutia moyo, kazi za mining zinalipa sana, na ziko nyingi sana kwa sasa na hazina mipaka ya nchi. Ukipasua book vizuri utafanya kazi hizi dunia nzima. Ila unaweza ukakosa muda wa kukaa na familia yako, uwe tayari kwa hilo.
unapochagua kozi especuialy at professional level ni vyema ukaondoa fikra za kuajiliwa instead jaribu kutengeneza mazingira ambapo kozi yako utaitumia ku-generate wealth at your own capacity kama mjasiliamali na haijarishi umesoma kozi gani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.