Nipeni umuhimu wa event kama hii kwa watu wanaowakilishwa na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni umuhimu wa event kama hii kwa watu wanaowakilishwa na JK

Discussion in 'Jamii Photos' started by Xuma, Dec 28, 2011.

 1. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ngoja na mie niungane nawe kusubiri majibu toka kwa waungwana.
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mods ondoeni ilishajadiliwa sana
   
 4. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  steven siger jamaa na mkubwalii
   
 5. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  ni muigizaji pia
   
 6. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani alikwambia ni kwa ajili yako, we vipi bana. Acha dokta atengeneze historia alaah!

  Uchumi umshinde, hata kutumia napo ashindwe?

  Natania: Watakuwa walikuwa wanajadili namna ya kuwasaidia kina Kanumba kuzama Hollywood, si unajua ziara za dokta zinaitoa sana nchi kiuwekezaji
   
 7. p

  pat john JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote wasanii.
   
 8. driller

  driller JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mwanangu haya mambo yananiudhi kinyama yani hapa nchini..!
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mbona ya kanumba na ray hujaweka?
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni kumbukumbu na tija kwa riz'√łne
   
 11. kombati

  kombati Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  A jakaya mrisho kikwete films
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Anataka kuwa actor akimaliza urais. Naona kila akienda marekani lazima aonane na actor au mwanamziki au mcheza basket ball halafu anasema anaenda kutuombea misaada ili ku-justify hela yetu ya kodi. Bongo kweli tumelala wacha waliobahatika kupata kura zetu wenyewe wafaidi maana ni sisi wenyewe tumewapa na kodi tunalipa wenyewe wale
   
Loading...