coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Mngoni na Mluguru walikutana unafikiri matokeo yake ni nini hahaaaaaWe ni mfupi?
Mngoni na Mluguru walikutana unafikiri matokeo yake ni nini hahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe. . . .Mengine nakubali ila wabaya sio kweli Mimi ni mfupi ila ni sukari ambayo kwenye chai inakolea mpaka najitamani mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana uwezo Wa kuendesha maisha yao bila nguvu ya MTU anayemuogopa.wana MMU ,naombeni mnipe sifa za wanawake wafupi bila kuangalia kabila lake!
Hawana uwezo Wa kuendesha maisha yao bila nguvu ya MTU anayemuogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke Mfupi Akidondosha Simu Haihalibiki kwasababu Anakuwa Karibu Na Aridhi.
Mkuu kwani hizo mmmh...si Ni nature ya mtu..hapo wafupi umewaonea bure
Sent using Jamii Forums mobile app
serious...ukikutana na mwanamke mfupi zoba huyo ana yake binafsi!mostly ni bright sana kichwan
HahahaaaWanawake wafupi walinishangaza kwenye ishu moja kwenye kitanda wanahama hama kila kona ya kitanda maana kitanda ni mstatili lakin bado akiangalia kusini anafit akiangalia kaskazini anafit akiangalia magharibi vile vile , sasa sisi wanaume warefu unashtukia magoti yanagonga ukingo wa kitanda, kenyewe kanahama hama tu
Wana mapenzi ya kwel
Wakorofi
Wajuaji
Wabishi
Wanaongea sana
Wanaumizwa sana kwenye mapenzi
Viburi
Wabaya
Sent using Jamii Forums mobile app