Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Raha ya wafupi bana wana babyka mrefu hata apite na matako juu juu wala sistuki kabs hata mama watt anajua ilo ugonjwa wng vijana awajajua hii siri wakijua dah vita itaongezeka mjini


Sent from my iPhone using JamiiForums
😍😍😍😍😍😍
 
.
FB_IMG_15547182838919543.jpeg


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Wanawake wafupi walinishangaza kwenye ishu moja kwenye kitanda wanahama hama kila kona ya kitanda maana kitanda ni mstatili lakin bado akiangalia kusini anafit akiangalia kaskazini anafit akiangalia magharibi vile vile , sasa sisi wanaume warefu unashtukia magoti yanagonga ukingo wa kitanda, kenyewe kanahama hama tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila madem wafupi siku ya valentine wakivaa nguo nyekundu na mawigi huwa wanakuwa kama Vimitungi vya gesi ya Oryx, Kweli sitanii


ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Back
Top Bottom