Nipeni sifa za wanawake wafupi!

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..mimi kwenye uzito jaman dah...nina72..nikiendaga hom Dingi anawaka na zile "BMR"sina hakika na spelling sijui..anakesha kunipima height na kukaluclate uzito wangu ...ah mm huko nimefeli..nakula kama mchwa sema kdg kidg..hapa njaa inauma😎!uzuri sina presha wala sukari...nadunda tu!..nataka kuacha kula nyama kwanza na keki maana napenda balaa

BMI- Body Mass index
 
Back
Top Bottom