Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 984
Tako wanalo ila shida ipo wakivaa nguo nyekundu wanaonekana kama ile mitungi ya Oryx gas 15kgwana MMU ,naombeni mnipe sifa za wanawake wafupi bila kuangalia kabila lake!
Tako wanalo ila shida ipo wakivaa nguo nyekundu wanaonekana kama ile mitungi ya Oryx gas 15kgwana MMU ,naombeni mnipe sifa za wanawake wafupi bila kuangalia kabila lake!
Tako wanalo ila shida ipo wakivaa nguo nuekundu wanaonekana kama ile mitungi ya Oryx gas 15kg
Wengi pasua kichwa,wabishi,wanaongea sana,wambeya,wakorofi in short hawafai kuoa otherwise uwe katili ndo utawaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwapata hatumii nguvu kabisa na wala haumii kuwapoteza! Yani kama shuzi limepata mjambaji.
Usikubali kuishia kusikia tu, kamata nakala yako mkuu! Hutorudia kudate na hao matolu tena
Saizi ya Kati
Hili jiwe una mlushie nani kwa mfanoUsikubali kuishia kusikia tu, kamata nakala yako mkuu! Hutorudia kudate na hao matolu tena
Hahah huyo nilie m qoute mwanzo!Hili jiwe una mlushie nani kwa mfano
Umemaliza kila kitu. Wanamapenzi ya dhati ila wanawivu sana na wanasusasusa ovyo.Wana mapenzi ya kweli.
Akipenda amependa
Wanatupenda sisi wanaume warefu.
Waliowengi wanajua mapenzi kunako 6×6
Ujuaji mwingi na kununanuna na visirani vyao hufanya wawe wahanga wa mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuUsikubali kuishia kusikia tu, kamata nakala yako mkuu! Hutorudia kudate na hao matolu tena
Ha ha ha imebidi nicheke sanaNina dada yangu mfupi ana dharau, kebehii, dhihaka... arrgghhhh! Sipati picha angekuwa mke wangu maana ningekuwa namfumua mabao ya uso usiku na mchana!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..mimi kwenye uzito jaman dah...nina72..nikiendaga hom Dingi anawaka na zile "BMR"sina hakika na spelling sijui..anakesha kunipima height na kukaluclate uzito wangu ...ah mm huko nimefeli..nakula kama mchwa sema kdg kidg..hapa njaa inauma😎!uzuri sina presha wala sukari...nadunda tu!..nataka kuacha kula nyama kwanza na keki maana napenda balaa
Mimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!
Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!
Sent using Jamii Forums mobile app
BMI- Body Mass index
yeah, nimrefu hadi najichukia.We mrefuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
wakinywa bia moja tu wanajaa, hawaongezi ya pili paka wakojoe ya kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe utakuwa siyo binadamu 150ft ni sawa na 46 Meters..... Yaani kile kiwanja cha mpira unatoka goli moja mpaka katikati ya kiwanja.... 🤔🤔🤔