Nipeni namna ya kuwa 'Informer' dhidi ya maadui wa taifa langu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Habarini wakuu! Mungu ni mkubwa tunapambana sana.

Mimi ni Mtanzania mzalendo wa kuisaidia nchi yangu kiuchumi, kisiasa na kijamii ili ipate maendeleo, na pia tuweze kuwakwepa maadui wetu ambao Kila kitu wanapinga tu, kila kinachofanyika wao wanaona zero!

Ninasema hapana, hapana!

Ni namna gani naweza kuwa informer (resource) ya kupata information mbaya dhidi ya nchi yangu na viongozi wake ili tuikomeshe hii tabia kwa namna moja ama nyingine.

Ili mtu anayeisemea vibaya nchi yangu nimchome na pengine kumuunguza kabisa kwenye vyombo husika kwani ni adui wa maendeleo na nchi yetu.

Naombeni strategies au njia za kufika huko. Sitaki kulipwa wala kunufaika kwa kuwa informer!

Asanteni
 
Ni hivi. Kila unaponusa jambo la hatari wewe nenda kwenye ofisi za usalama zilizoko jirani nawe wainform kisha sepa zako tayari umekuwa informa...
 
Back
Top Bottom