Nipeni miaka mitano zaidi !!

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Nipeni miaka mitano zaidi ili niwatumikieni kwa nguvu na kasi zaidi.
Nipeni miaka mitano ili nimalizie mabarabara niliyoanza kuyajenga! Nifute michango yote mashuleni na kupandisha ufaulu wa vi.la.za wetu!
Ninunue ndege nyingine 2 na kuwatumbua majjipu mafisadi! Nipeni muda ili pamoja yuijenge nchi yetu! Wafanyakazi nitafuta 2% ya PAYE! Wapinzani sisi sote ni ndugu,nitaunda serikali bila kujali itikadi zetu! Nasema kweli tupu! Naomba mniombee kwa Mungu ili niwatumbue haya mafisadi!
NB: Awamu hii hatutadanganyika! Endeleeni na mambo ya mwendokasi!
 
Zamani enzi zile mlikuwa wengi naona sasa mnapungua taratibuuu, mnaanza kujihami
 
Back
Top Bottom