Nipeni mbinu za kumtoa bosi asiye na elimu aende kucheza taarabu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni mbinu za kumtoa bosi asiye na elimu aende kucheza taarabu..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pasco_jr_ngumi, Nov 4, 2011.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  habari wakuu,
  nafanya kazi chuo cha ualimu. hapa nna dip. ya education na digrii ya accounting and finance.......... nafanya kaxi za kufndisha tu.....


  muhasibu wa hapa hana elimu kabsaaaaaa, form four, mweupeeee!!!!!! nahsi aliajiriwa kama mfagizi.

  nipen mbinu za kumtoa, nichukue nafas.......

  toa maoni ya kujenga sio matusi..
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nipeni maoni wakuuuuuuuuu@##%&%##%%
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Loh!! usije ukaenda tu kwa kalumanzira! Mungu hapendi. Kumbuka malipo ni hapahapa Duniani.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mabosi ambao hawajasoma huwa wanajikinga kwa ulozi. Kua muangalifu,chini ya kiti kutakua na kitu kinapumua,lol
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Wewe umemkuta hapo, kaa fanya kazi, unataka kumtowa kumpeleka wapi?
   
 6. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  unatakiwa ku thibitisha kwa utawala kuwa huyo mtu ni mweupe. usithibitishe kwa maneno tu. anza kwa kuingia kwenye system ambayo ipo related na pesa , kwa mfano kama kuna kazi ya kusimamia michango yoyote etc, wewe unajitolea , sasa hapo utakuwa kwenye nafasi ya kuiona accounting system ya hapo ndani na ukapewa nafasi ya kutoa mapendekezo, wewe toa mapendekezo na shiriki kufanya kwa vitendo, wataona uwezo wako. kama matekeo yatakuwa hasi kwa kila ulicho shauri au kutenda watakukabidhi mikoba.


  onyo kwa faida yako, hata siku moja usizungumze kwa wenzio juu ya ukilaza wa huyo mhasibu, ili hali wewe ni mhasibu pia, kaa kimyaa, ukifanya hivyo na akihisi unapenda kazi yake anaweza kuanza kukuondoa wewe. pia hata utakapo shauri kwa utawala kuwa makini, usimkosoe huyo mhasibu, wewe zungumzia mapungufu ya mfumo wa uhasibu , ukimnyoshea kidole anaweza kukurushia ngumi eeh
   
 7. g

  gunge211 Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengine Bana ,
  wengine hawakusoma lakini wako na uwezo wa kuongoza ndugu yangu .
  kumbuka uongozi bora na utendaji si madigirii
  kama ingekuwa ni hivyo zimbabwe baraza la mawaziri kjila mmoja wao anazo zisizopunguwa 4
  na wanaoishi Uingereza kwa muda mrefu watakwambia John major na Churchil walikuwa waziri mkuu bora zaidi kuliko wote na wote hao walikuwa hao unaowaita vilaza au hebu linganisha uongozi wa kina mzee kawawa na hawa madaktrari wako hapo Dar
  Fanya kazi kwa bidii uonekane halafu utuonyeshe unachoweza kukifanya , utapewa mkanda
  Na uangalie kijana wasiosoma wana vitu vyao watakutia vishipa vya macho ama kuku anaewika tumboni .
  Fuwata lako liache la mwenzako .
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  mshauri aende kujiendeleza kimasomo then utakabithiwa ofisi.
   
 9. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If you are highly educated as you claim and at the same time working for Apple Inc.....Would you have the guts to take down your least educated CEO, Steve Jobs?
   
 10. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  USIMFANYIE MWENZIO UBAYA WOWOTE MWENZIO KWANI MALIPO YAKE NI HAPA HAPA DUNIANI,ukimfanyia ubaya subiri na wewe utafanyiwa hapa hapa duniani...vumilia mwamini mungu kama ni kupanda utapanda tu..kumbuka degree si kigezo cha uwajibikaji fanya kazi kwa bidii zaidi.
  Nina rafiki zangu wana PhD lakini ukiona maamauzi wanayoyafanya utamani huyu jamaa bora anageishia shule ya kawaida..PhD zao haziwasaidii badala yake wanaharibu tu..
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa vile wewe una kadegree ndio unamwona hafai? Heshimu seniority kazini hata kama kaishia form four. Kinachomatter ni experience zaidi. Kwani yeye na wewe mmefanya kazi hapo kwa muda gani? Pia fikiria mbali zaidi. Mfano kama ana familia ukishamtoa, utalisha familia yake? Kama ungekuwa mtu wa maendeleo ungemshauri afanye mpango aongeze elimu yake sio kumtoa kwa mbinu.Kama unaona kufundisha haina dili then tafuta kazi sehemu nyingine. Acha kabisa uroho wa madaraka. Utakuponza.
   
 12. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Umenikumbusha Mwl Nyerere alisema ukila nyama ya mtu utaendelea tu kuila. Na wewe ukimtoa huyo mhasibu, baadae utaona Mkuu wa Chuo nae ni mweupe, utataka nae umtoe, uchukue nafasi yake. Tafuta namna ya kumsaidia mhasibu, ama kwa kumfundisha au umshauri akasome. Utaona Mungu atakavyokubariki. Utapata nafasi nzuri, pengine kuliko hiyo ya hapo chuoni. Ubarikiwe!
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  We una degree na unauwezo wa kupata experience kidogo hapo na baadae uende kupata kazi zingine nzuri tu. Ila huyo boss wako hana masomo na akitoka hapo hawezi tena kupata kazi kama hiyo, msaidie sana umwachie kazi yake. Kumbuka ukitoa ushirikiano mzuri anaweza kukupa siri yake, how he came to be in that position na wewe ukachanga siri hiyo na elimu yako ukapata even a better one...
  Nakushahuri sana umwache mwenzio afanye kazi kwa amani. Kumbuka, what goes around...
   
 14. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  je analipwa pesa zaidi yako?

  malaki au mamilionni maana nataka niapte picha haswa nini kimekufanya uulize uombe msaada then nitaweza kukueleza
   
 15. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mmmmh, mshahara wake kidogo saana roughly haizidi 150,000/=, tena ni babu 49 years......

  najua hii kazi kanunua........

  tena yuko na boharia wake, ngazi ya elimu anajaza NBMM ......yaan ni madudu, huu ni ufisadi wa elimu......
   
 16. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  LAKINI JE HAUJUWI KUWA CHANZO CHA UMASKINI TANZANIA NI HIKI PIA? SERIKALI KUKUMBATIA WAFANYAKAZI WAUPE KICHWANIIIIIIIII????????

  NAJUA ukimwambia aandae income statement, hajuwi!!!!!!!!
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kuuiita digrii yangu '"kagree"' ni dharau......... UGUMU, MACHOZ NA TABU NILIZOPATA NAJUA MIMI.........

  TUHESHIMU ELIMU MKUUUUU
   
 18. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapa cikubaliani na wew!!!! politics cio proffesion.........

  unataka kuniambia unaweza kumchukua Churchil aende akafanye kaz hospital as doctor?????

  awe yule mbunge wenu wa std 4 awe mwanasheria, hakimu mahakamani???

  THINK BIG SIR!""!
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Siku ukipata phd patachimbika. Mbona za mukulu tunazidhihaki kwa raha zetu, sijui zimefika 10?
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  haaaa hsss..... dont mention that man to me...... nyerere ameleta umaskini tz..... kafaulu kwa kuleta kiswahili......
   
Loading...