Nipeni MBINU matata ya kumwacha huyu Dada, aumie kisawasawa

Mvizie usiku kalala mmwagie pilipili machoni mkuu hakika ataumia sanaa,mimi ni baharia nishawahi fanya hivo ni mbinu mujarabu kwa mabaharia wa kwel
 
Kwa nini unataka kumuumiza mtu ambae hajakukosea? wewe unafahamu ukweli hasa kwa nini aliamua kusitisha uhusiano na huyo aliepita? mama, dada ama mtu wa karibu wa ukoo wako akiumizwa kama hivyo na wewe utafurahi? umechoka kuwa mwanaume usiwe mvulana mkuu, wewe sepa kimya kimya tu.
 
Muahidi ndoa fanya taratibu zote, kwenye mahali toa hata kidogo tu waambie nyingine utamalizia mbele kwa mbele. Fanya taratibu zote halafu siku husika ya ndoa ikifika ingia mitini nusu saa kabla ya ndoa na simu zima kabisa. Nakuhakikishia kwa hilo hatokusahau kamwe.

ONYO
Ukimfanyia mtu ubaya ujue umejifanyia mwenyewe, so achana nae tu kwa amani kama umemchoka then ataadhibiwa na muumba wake. Ukimfanyia ubaya ujue ipo siku ubaya wako utakurudia.
 
Hata kama amemkosea kwani ndio alistahili kuumizwa??
Kwa nini unataka kumuumiza mtu ambae hajakukosea? wewe unafahamu ukweli hasa kwa nini aliamua kusitisha uhusiano na huyo aliepita? mama, dada ama mtu wa karibu wa ukoo wako akiumizwa kama hivyo na wewe utafurahi? umechoka kuwa mwanaume usiwe mvulana mkuu, wewe sepa kimya kimya tu.
 
Weekend hiloo, wanajukwaa embu nipeni mbinu matata nimwache hyu bidada yani aumie kisawasawa alie kisawasawa na ofcoz amejaa sana kwangu.

Why? Hyu dem wkt nakutana nae 2months ago alinambia yuko single, siku akajimix alinipa nimshikie cm yake nikakuta calls za kutosha kumbe hyo alikuwa ex wake aliye mbwaga. Nikazama Dm nkakuta jamaa analia sana umeniacha bila kosa nashukuru mara huwez pata mwanamme mwenye true love kama mimi, nikacheka kimoyomoyo jamaa umejuaje??

Ofcourse sikupenda kitendo cha dem alichofanya afu sikupenda kuona baharia mwenzangu analia vile, mpaka sasa jamaa anamtafuta demu. Hyu dem me nishamchoka hana jipya la kunipa sahivi. Nataka na yeye aliye kama alivolia jamaa ake. Yan kamwacha jamaa ake mwenye true love kadata kwangu.Mabaharia hyu dem ili aumie kisawasawa ikiwezkana asinisahau kabisa. NIFANYAJE??
Muunganishe na baba yako awe mzee anajipigia...
Nimekuona bwege tu. In maana yeye dada hana haki ya kujua kuw aliyekuwa nae zamani sio chaguo lake la moyo baļi wewe? Kaa umemtumia na umemchoka mwambie kwa amani...na akirudiana n jamaa usilete uzi wa kulia lia hapa.
 
Back
Top Bottom