nipeni elimu ndugu zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nipeni elimu ndugu zangu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kalunguine, Feb 1, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mimi nataka kubadili jina langu na nataka nitumie jina langu la ukweli na picha yangu mardadi kama mtoto wa kike hapa JF make pia nataka kupata mume,hivyo basi nielekezeni namna ya kubadili hili jina bandia na namna nitakavoeka jina halisi
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wa PM kina Mods kama Invisible,Cookie
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo! ina maana humu JF hili tatizo haliwezi kupata ufumbuzi?? niambien basi namna ya kuwa PM wahusika labda watansaidia
   
Loading...