Nipeleke Nipelekee...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,206
36,185
619-01429768er.jpg


New Pic.jpg

Mahabuba weeeh..... Kasie Lloves you mwaaah!!;)
Nipeleke babangu eeh, nibemende... wasiokuwa wangu wasinione.....
Wacha wapige kelele.... wasojua yetu na wakome.....

Najuuutaa..... kukupata dadii.

Haya kumekucha tena asiye na mwana aeleke jiwe, ile safari ya kwenda utalii kwenye boti la kifahari imerudi tena.

Dadii leo nimeamka salama nakusubiria hiyo kesho kwa hamu kubwaaa ........ ready for the tost!!

Muah
 
Matipwatipwa yanakuaga matamu ila ni wavivu kunako 6x6

Una uzoefu nao eeeh.... hehehehhee ila pamoja na kupata uzoefu kwao, bado hujagundua kuwa hawatafuti phd ya kitandani..... raha kwao ndo kila kitu ndomaana wanazidi kubongeka.

Pia kizuri hakikosi kasoro...... utamu unautaka ila tipwa hutaki...
 
Kama sijaelewa elewa vile..au sijui kusoma


Achana na maandishi wee soma picha tuu maana hapo nimeandika kwa lugha ya Taifa bado lugha gongana, ile lugha iliyokuja na meli itakuwa patashika. ......
Usipozielewa picha basi tena...... :):)
 
Mmhh naona inarowekwa na maji ya chumvi ipate ladha;):p

Sio inalowekwa......tunaziloweka zote ndani ya maji ya chumvi kwa raha zetu.... tukitoka hapo ni bakulutu na zuku tuu.....
Utaona dadii amekataa za hapa... hapa.... hapa.... zuuk... zuuk.... zuuk..... Hahahahaaa rahajee.
 
Raha jipe mwenyeweee,naona hilo baba kifua hapo kama cha ,.............
 
Back
Top Bottom