Nipe slogan unayoipenda sana kati ya hizi za marais wa Tanzania

Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,005
1,337
Kumekuwa na slogans nyingi kutoka kwa watawala wetu tangu Uhuru. Naomba uniambie IPI unaipenda au ili/ inatekelezwa kwa vitendo.
1. J. K. Nyerere
Uhuru na kazi
2. Mwinyi A. H
Ruksa
3. Mkapa B. W
Mtaji wa maskini ni nguvu zake
4. J. K. Kikwete
Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya
5. Pombe J. J. M
Hapa kazi tu

Karibu
 
Awamu ya nyerere sikuwepo,ya mwinyi nilikuwepo ila siikumbuki,ya mkapa nilikua siijui siasa,ya jk nilikua busy shule,ya magu ndio kwanzaaa nikamiliki smartphone na kujifunza siasa na mapovu tele
 
Hata kama sikuwepo ila niliipenda hiyo ya Ruksa na ile ya maisha bora kwa kila mtanzania hata km hujaiweka
 
Kumekuwa na slogans nyingi kutoka kwa watawala wetu tangu Uhuru. Naomba uniambie IPI unaipenda au ili/ inatekelezwa kwa vitendo.
1. J. K. Nyerere
Uhuru na kazi
2. Mwinyi A. H
Ruksa
3. Mkapa B. W
Mtaji wa maskini ni nguvu zake
4. J. K. Kikwete
Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya
5. Pombe J. J. M
Hapa kazi tu

Karibu
Hiyo ya Mkapa si kweli, Mkapa hakuwa na slogan hiyo, aliipata tu ziarani akaipenda, akaitoa mara moja mkutanoni, watu haswa wasanii wa muziki wakaishika. Mkapa slogan yake ilikuwa ni "uwazi na ukweli".
 
Umenifundisha . Asnte
 
Back
Top Bottom