Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Mimi nataka nyumba ya kununua maeneo tajwa budget yangu mil 20. Au pagale budget yake isizidi mil 11. Na Uwanja usiwe chini ya SQM 400
Imepatikana moja, ina vyumba vitatu (1self), sebule, jiko na dinning room.
Imeezekwa upande mmoja.
Ina maji na umeme.
Fensi ya mabati
Bei 16m
 
Nimekusaidia kupiga picha naona ulifeli kwenye kameraView attachment 2225247View attachment 2225248View attachment 2225249View attachment 2225250
20220511_162739.jpg
 
Nyumba nzuri, vyumba vinne(kimoja master)
Full tiles,aluminium windows, jiko, seating room na dinning.
Ndani ya fensi.
Kodi 300k kwa mwezi
KITUNDA
 
Samahani, hio tv kwenye picha ni chogo au flat?
Hiyo NI flat nche 55.. new model
From Mr UK Paris ya Antananarivo
Campuni yake inaitwa Taiwan marshoarts na Moto combat iliyopo kule Japan.. nchini Mexico.. vipi unaitaka!??
 
Habari wana jukwaa
✓ Kiwanja kipo KITUNDA, Magole
Wilaya ya Ilala, jimbo la Ilala
✓ Kutoka Nyerere road (Banana) hadi kwenye kiwanja ni km 9
✓ ukubwa ni sqm 1200 (30*40)
✓ Kiwanja kipo ndani ya fensi (maji na umeme vyote vipo)

Bei: 18m (neg)

Pia vipo vingine viwili
1. Ukubwa 20*20 (sqm 400)
Bei 7m
2. Ukubwa 15*15
Bei 3m

MAWASILIANO: 0785 857564

JamiiForums1805398431.jpg
JamiiForums-187049408.jpg
JamiiForums-493910113.jpg
JamiiForums-1013125024.jpg
JamiiForums412563761.jpg
JamiiForums-1171392076.jpg
JamiiForums-1963401777.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom