Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

Miaka ya nyuma walilalia vitanda vya 3*6, nadhani ilipelekea mahusiano ya wanandoa kudumu, imagine wanakorofishana asubuhi ila usiku ndio hivyo tena kitanda hakiruhusu kila mtu kuchukua upande wake, so wanalala kwa kukaribiana kabisa, na kwakua mablanket yalikua adimu iliwalazimu kukumbatiana kulipunguza. Ndo maana wanandoa zamani walikua na uwezo wa kukorofishana leo ila kesho wakaamka kitu kimoja tena


Hizi 6*6 kiukweli sivielewi, heri 5*6


NB:- I dont stand to be corrected!
 
miaka ya nyuma walilalia vitanda vya 3*6, nadhani ilipelekea mahusiano ya wanandoa kudumu, imagine wanakorofishana asubuhi ila usiku ndo hivo tena kitanda hakoruhusu kila mtu kuchukua upande wake, so wanalala kwa kukaribiana kabisa, na kwakua mablanket yalikua adimu iliwalazimu kukumbatiana kulipunguza. Ndo maana wanandoa zamani walikua na uwezo wa kukorofishana leo ila kesho wakaamka kitu kimoja tena


hizi 6*6 kiukweli sivielewi, heri 5*6


NB:- I dont stand to be corrected!
Kamaliza kila kitu tayari
 
2Β½ ni vizur zaidi sababu vinahamasisha migusano.. hata kama hamuongei lazima mtasemeshana tu
 
6Γ—6 inawapa Uhuru wa kuvunja amri 6 bila kusita...
Ni nzuri Sana

Na 3Γ—6
Inawapa mipaka katika mihemkoπŸ‘¨β€β€οΈβ€πŸ’‹β€πŸ‘¨ya ndani...

3Γ—6 lazima ziweπŸ›οΈ mbili πŸ›οΈ
Zilizo kaa mbalimbali ila wakati wa mechi vinaunganishwa na kupata6Γ—6
Bada ya tendo mnarudisha Kila moja mahala pake na
Hii ndo rahaa ya 3Γ—6
Hamlali na mke kitanda kimoja...
 
⁴ π•œπ•¨π•’ ⁢ π•Ÿπ••π•  π•œπ•šπ•₯π•’π•Ÿπ••π•’ 𝕓𝕠𝕣𝕒 π•œπ•¨π•’ π•¨π•’π•Ÿπ•’π•Ÿπ••π• π•’
 
Back
Top Bottom