NIPE CHEO NIOMBE MSAMAHA

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
951
843
Kwema wanajukwaa?...kwanza niwapongeze hao wennye chama chao (ccm) kwa kile kinachoitwa mageuzi ktk chama

lakini wakati polepole akisoma hatua zilizochukuliwa na chama nilimsikia akiwataja watu watatu ambao walinifanya kutega sikio kusikia rungu la utosini litakavyowashukia

watu hao ni wale waliotoka nje wakati bwana wao alipokatwa ktk kamati ya maadili huko makao makuu ya mawaziri.kimbisa,sophia simba na nchimbi ndo kituvo cha mada.

sasa rungu la utosi likamuangukia sophia simba bana kaaaaa chali tupa kule...nikataka kujua balozi watu hili rungu litakuwa la wapi sasa sijui la shingo au kisogoni...looo gafla ikitolewa noti akapewa balozi wetu wa brazil...alafu kaambiwa tunakupa onyo kali na inabidi uombe msamaha kutokea huko uliko na usirudie tena...NIPE PESA NIOMBE MSAMAHA.
 
Back
Top Bottom