Nipe bidhaa zako nikutafutie wateja mtandaoni

Apr 27, 2020
28
29
Salute wakuu

Natoa rai kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ambao mnauza bidhaa au huduma mbalimbali mtandaoni , na unahitaji kuletewa wateja wa uhakika kila mara tuchekiane.

Nna skills za social media marketing, kuanzia kutengeneza contents, kuandaa matangazo (kuandika,kushoot and graphic design) pamoja na kuendesha campaigns za matangazo ya kulipia (facebook & IG ads).

Hivyo tutashirikiana bega kwa bega kufanya biashara yako iongeze wateja na mauzo yake maradufu ( social media ina nguvu kubwa hapa)

Hata wale wanaotoa services pia..tunaweza fanya kazi pamoja.

Kwa wale walio tayari unaweza nicheki PM au kwa 0752226475 whatsapp.

Pia unaweza comment apo nikakucheki pm.

Kama una maswali au unahitaji ushauri kuhusu social media marketing..comment apo chini nitakujibu.

Ahsanteni.
Screen-Shot-2019-11-15-at-2.51.03-PM-696x417.jpg
Instagram-Post-Mockup-1.jpg
fbwebmc.jpg
ADCONC5%20final.jpg
AD4.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom