Niongezee bia ya tatu... kabla vurugu halijaanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niongezee bia ya tatu... kabla vurugu halijaanza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dopas, Aug 8, 2012.

 1. D

  Dopas JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamaa alikuwa anapita karibu na bar, akaona watu wanapata moja baridi moja moto.
  Nayeye bila kusita akaagiza aletewe naye bia..akadhani za dezo.. alipomaliza bia ya pili akaona watu wananyanyuka na kwenda kulipa bill kaunta.. na yeye akaenda kaunta kwa mhudumu. Mazungumzo yakawa hivi:
  Jamaa: mhudumu tafadhali niongezee bia ya tatu kabla vurugu halijaanza
  Mhudumu: kwanini vurugu lianze? vurugu la nini?
  Jamaa: kwa sababu sina hela ya kulipa, na tayari nimeshakunywa bia mbili, sasa naona afadhali ninywe tatu kabisaaaa kabla vurugu halijaanza...
  kinachofuata endeleza.....
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mhudumu hebu na mimi niongezee ya sita kabla sijaanza kushudia hii vurugu
   
 3. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Endeleaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...