Nina imani kuwa sote humu jukwaani tumewahi kuvaa viatu na tulipokuwa watoto tulikuwa tunasikia raha kununuliwa kiatu kipya na kukivaa na unatamani huende huku na kule kuwaonesha wenzako uzuri wa kiatu chako. Vilevile wengi wamekumbwa na aibu kwa kuvaa viatu vilivyochakaa na Yule ambaye kava kiatu kilichochafuka atakifuta tu na kuondokana na aibu hiyo.
Lengo la mada hii ni kuonesha ni namna gani upinzani ni kama kiatu kilichochakaa na kustahili kutupwa na CCM ni kama kiatu kilichochafuka cha kustahili kufuta.
Upinzani ni kama kiatu kilichochakaa na kustahili kutupwa lakini wamiliki wa kiatu hicho wanaendelea kukivaa. Kuendelea kuvaa hicho kiatu kama nilivyokwisha sema hapo juu ni aibu na ndivyo upinzani ulivyo umechakaa na kuchoka sana kiasi cha kufanya wanaoushabikia sasa waone aibu kama wamepaka mavi usonii.
Kitu kikichakaa kinahitaji marekebisho makubwa ama kununua kingine na si kuziba viraka, hali ni tofauti na upinzani hawafanyi marekebisho makubwa wala kuunda mfumo mpya ila wanafanya kuziba viraka mfumo wao wa zamani na kujidanganya ni upinzani mpya kumbe ni wa zamani lakini umefuikwa viraka.
CCM ni kama kiatu kilichochafuka nacho hustahili kufutwa tu. Hii ndio kazi mwenyekiti wetu wa CCM alipoingia tu kwenye uenyekiti akaanza kufuta uchafu( CCM ya zamani) na baada ya kung’aa ikabatizwa jina na kuitwa CCM mpya. CCM mpya inang’aa kama kiatu kipya kabisa.
Pongezi kwa mwenyekiti wetu kwa kufuta uchafu kiatu( CCM ya zamani) na kuonekana kipya kabisa. CCM mpya ni mfano wa uzalendo, uwajibikaji,utendaji na ufanisi wa mwenyekiti wetu
Karlo Mwilapwa