Nionavyo mimi wabunge wa upinzani kugoma kutoa hoja hotuba ya rais

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Hotuba ya rais alioitoa kwa uzinduzi wa bunge imejaa kila sehemu ya matatizo ya nchi.
sasa upinzani kwa aibu ya hotuba ya JPM na wao siku hiyo kutokuepo wanaona aibu wao kuendelea kuijadili hotuba hiyo.
walitafuta sababu ili wasiijadili kwa kisingizio cha TBC kutokuonesha live bunge.
hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo.hata wakiambiwa redio itakuwa live hawatakubali
 
Jina lako tu linaonesha wewe ni shabiki wa Yanga. Bahati mbaya mashabiki wengi wa Yanga siyo wazima kichwani ikiwamo wewe.
 
Walisusia hotuba ya Mhe. Rais na Leo wamekamilisha kwa vurugu waliyofanya.

Queen Esther

Back
Top Bottom