Nionavyo mimi: Slaa ndiye Rais ajaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionavyo mimi: Slaa ndiye Rais ajaye

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mlachake, Oct 30, 2010.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  I have got friends and I know People.
  Katika marafiki zangu wote na watu nilionao karibu, Hakuna hata mmoja anaipenda CCM.
  Sijui wewe mwana Jamvi katika marafiki zako ni wangapi kura yao iko CCM?
  Kwa mtazamo huu, Kwangu mimi Slaa Ndiye atashinda.Sijui walioko vijijini!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,557
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Niko na DR.wa ukweli tunamtarajia kuapishwa 7/11/2010 hapa Dar. Mzee wa taarabu na mipasho kwa heri
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its obvious Dr Slaa is the president to be, jamaa zangu wote ambao ni zaidi ya 80, wanasema watampa kura Dr but the problem CCM wezi wa kura, hivyo ndo kilio cha nchi/watanzania kuwa ccm wanaiba kura kila uchaguzi na watanzania wengi hawawezi kufanya kitu!!
   
 4. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,697
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  So Do I!
  Sina mtu wa karibu anayeipenda CCM.
  My boyfriend tells me the same story!!
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,631
  Likes Received: 1,926
  Trophy Points: 280
  Bado najiuliza kilka siku wanaofanya utafiti wanafanyia kwa watu gani.........au kwa mawe?
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama umemweza jamaa duh kazi. Asante sana. Mpenda ccm anapata matunda yake na wako wachache hata ndani ya ccm.
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,263
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 280
  yeah, i'm living in an area where more than 500 people strongly support slaa. to my opinion, he's the next prez
   
 8. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Katika rekodi zangu hakuna mtu wangu atayepigia kura ccm.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,814
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Kwetu kijijini CCM na JK hawana chao.
   
 10. M

  MC JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 743
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nimepiga sim mikoani kwa ndugu jamaa na marafiki, nimeongea na jamaa zangu hapa Dar, kwa kweli inatia moyo sana, kila mtu ananijibu haraka sana kura yake ni kwa Dr Slaa
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,480
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  Tatizo CCM wezi,hatujiulizi imekuaje JK kujua process yote ya kuhesabu kura?mwanya anajua ulipo!
   
 12. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  80% ya watu ambao tumeongelea siasa ktk kipindi hiki wanasema watampigia Dr. Slaa, ni wachache mno wanaomtetea au kusema kumpigia kura kikwete!!!!!!! my amsuption Kikwete atadondoka kwenye uchaguzi kama anavyodondoka kwenye majukwaa!
   
 13. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waambie wakipiga kura wazilinde hakuna atakayeweza kuziiba. Wasilale mpaka kieleweke
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Natamani REDET na SYNOVATE wangefanya tafiti zao mwezi wa nane, September, na October.
  Kabla ya Slaa I had no one to give my vote. at The moment There is one, Non other than Dr. peter Wilbrod Slaa.
   
 15. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Inashangaza sana, REDET, SYNOVATE na TCIB waliwatoa wapi supporters wa ccm? Watu wote naowafahamu wanaipigia chadema kasoro mmoja ambaye yuko ccm kwa maslahi ya badae, anapenda sana hela
   
 16. B

  Brandon JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I CANT WAIT TO VOTE.... YAANI NINA USONGO NA KUPIGA KURA. THIS IS MY FIRST TIME TO VOTE. MR WANGU YY ALIKUWA ANAPENDA SANA CCM LAKINI BAADA YA MI KUMWAMSHA KASEMA HAMPI JK KURA YAKE.
  KESHO SAA 12 asb nitakua nimejaa tooop kituoni kumpa dr slaa kura yangu ya kweli.

  may God bless huu uchaguzi jamani. azilinde kura zetu ili wenye nia mbaya wacfanikiwe kuchakachua.
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Ndege wa rangi moja......
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,394
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wewe una kura moja, usitoe maamuzi kwa vigezo vya mtazamo wa marafiki zako kwani kura ni siri ya mtu. Muda uliobaki ni mdogo, acha wapiga kura kwa ujumla wao wafanye maamuzi
   
 19. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 4,436
  Likes Received: 3,212
  Trophy Points: 280
   
 20. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2013
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Labda kuwepo na utaratibu wa uchaguzi mpya, watu wanapigia kura upinzani lakin mwisho wa siku ccm inatangazwa mshindi! labda tuje na utaratibu mwingine
   
Loading...