Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Hapa kuna mambo tofauti, ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha uwajibikaji kisheria mfano kupiga vita rushwa na mwisho kabisa ni ukuaji wa uchumi

Aspect ya mwisho ya ukuaji uchumi ni dependent variable na inaathiriwa chanya na hasi na masuala ya miundo mbinu, utawala wa sheria,uwekezaji (wa nje & ndani).

Tulio wengi HATUJUI mahusiano ya ukuaji wa uchumi (micro & macro) na hiyo miundo mbinu inayojengwa.

Kwa sasa miradi mikubwa haijakamilika hivyo return yake bado huwezi kuiona kwenye pato la Taifa/GDP ndio kusema hizo ni longterm investment.

Ambacho wengi tunakurupuka ni kutokuona hali halisi ya haya mambo, jiulize:

- Je sekta binafsi imekua au imevurugika kabisa tangu awamu hii iingie madarakani?

-Vipi wawekezaji wakubwa kutoka nje hali ikoje (vipi foreign direct investment FDI)

-Hali ya uchumi kwa mtu ie economy at micro level ikoje?

-pato la mtu ie per capita limepanda au limepungua?

Mwisho- vipi fursa za ajira (public & private sector) hali ikoje?

Majibu au mtazamo wa ndani wa hayo hapo juu ni baadhi ya viashiria vya hali ilivyo.

Mnaosema uchumi umepanda au kushuka bila kuzingatia hayo na mkahisi labda barabara daraja au reli ndio kiashiria cha kukua uchumi, mtakua mnachanganya utekelezaji wa ilani ya chama na kukua au kushuka kwa uchumi wa nchi!
Huwezi tumia nakujifanyia mahesabu mwenyewe nakutoa taarifa wewe hapo ndipo tumefika hivyo funga mdomo kam hujuwi. Usiandike kama sio mfuwatiliaji wa mambo.
 
Waliotupeleka kiupole walitufikisha wap?
waliompa urais nadhani wanajuta. anaweza kwa kiasi kidogo uwaziri. nchi hii ni kubwa mno huwezi kuiendesha kibabe kama familia yako. amenunua ndege kibabe, anajenga mega projects kibabe. anahangaika na chadema kibabe. kila kitu ubabe huwezi kufanikiwa kwa sababu mwisho wa siku lazima ujue kuwa unaowafanyia ubabe siyo ng’ombe, ni binadamu. nadhani miaka mitano inamtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka wa tano kuna watu wako ndani wakisubiria ushahidi means Mungu akituacha tena akarudi kipindi cha pili hao watakaa ndani again 5 yrs jumla 10yrs wakisubiria ushahidi kukamilika then wapo wajasiliadini wanakwambia eti chaguo la mungu.Je Mungu utaka watu wateseke ndani wakisubiria ushahidi? Maana kwa kesi za kubambikiwa hasa uhujumu hata ukae ndani miaka 60 ushahidi hautokamilika.Hawa viongozi wa dini yapaswa wachomwe pamoja na watawala waovu kwani wao ndio msingi wa kuenea kwa uovu kwa kuwalamba watawala badala ya kuwaambia ukweli juu ya matendo yao maovu.
 
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamu ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.

Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.

Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Hii account naona ili hackiwa
 
Naunga mkono, utaongezeka kwako! Lakini kwa wale tunaojitambua tunauelekea ubilionea Kama sio u trilionea!
 
Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji,
Wewe unaishi nchi gani? Taifa letu umasikini tulisha utupilia mbali. Sisi ni middle income country kama ilivyo Afrika kusini na India.
 
Hivi hizi mada zenu mnazokuwa mnaandika , mnafanyaga uchunguzi kabla ya kuandika.
Mimi ni external Auditor haswa kwenye taasisi za kibank.
Ulichokiandika sio kweli kabisa.
Last microfinance niliyo-audit imepata faida ya bilioni 1.3 baada ya kodi ipo maeneo ya Mwenge tu hapo.
Serikali inazilea sana hizi bank maana nyingi hazija-meet requirements za BOT .
Nb:
Mkuu kama unataka kutoka kibiashara hakuna biashara inayolipa fasta kama microfinance. Trust me tena kipindi hiki hìki
cha Magu.
Nimeshindwa kukuambia in-deep kwenye ma-bank , lakini ukiona mpaka bank imefilisika ujue serikali imeisaidia sana ila imeshindikana.
Bank kama _CB ingekuwa nchi serious haitakiwi kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huoni kwamba ni sababu ya kuwakamua masikini wanaokopa pesa ya kula lakini wanakuja kulipa Madeni makubwa baadaye kutokana na riba hasa wafanyakazi wa chini?
 
Utakapo kamilika mradi wa JNHPP ndio utakuja kuona mazuri ya JPM.
Litakapokamilika daraja la busisi to kigongo ndio utakuja kutambua unalalamikia upuuzi.
Pale reli ya Sgr itapoanza kusafirisha mizigo na abiria utakuja kuona aibu.
Maana Cement mwanza ni elfu ishirini lakini itashuka bei na kuwa elfu kumi na tatu.
Ukabila mbaya sana
 
Lakini maendeleo yoyote yanaambatana na maumivu kidogo. Lakini ni lazma ujue utofauti wa kikwete na magufuli. Alichokifanya kikwete enzi zake makusanyo hayakuwa makubwa sana ila aliweza kujikomba kwa wahisani na wahisani c unajua hawatoi bure ndo ukaona mikataba ya kijinga. Kujikomba kwa kikwete kuliweza kuleta misaada mingi ya kimitego ukiwa uangalii kwa makini utajihisi unapata kumbe unaliwa bila kujua. Magufuli yeye alijua ili nchi iepuke kulizwa rasilimali zake ni kuiogopa kidogo misaada ambayo ndio iliwapa viburi mjini kwa hali hiyo lazma maumivu kidogo
Deni la Taifa wakati wa kikwete lilikuwa kiasi gani na wakati huu ni kiasi gani?
 
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamu ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.

Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.

Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.

Uko sahihi, lkn sio Sana. Huwezi kufanya yote Muda wote. Lazima kuchagua. Bora awamu hiii pamoja na hali ngumu lakini acha tu ijenge hayo ma project
 
Back
Top Bottom