Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Noma sana! Mirija imekata na akili zimerudi.
Kuna kipindi fulani miaka ya nyuma niliwahi kuongea na polepole kipindi hicho alikua mkuu wa wilaya nadhani.
Huwezi amini ndio huyu wa sasa hivi kwa jinsi alivyokua anamponda Jiwe kuhusu maswala ya uchumi
Mchumia tumbo mkubwa yule, kipindi cha mchakato wa katiba mpya alikuwa real sana lakini baadaye aliramba matapishi yake
 
Ni huu Kuamini kwamba mtu ukitoka nae kabila moja basi unatakiwa umsifie tu hata kama anakosea, ni ule wa kujiona kwamba sababu wewe mfumo uliopo unakufaidisha basi uamini kwamba hata kama wengi hauwanufaishi basi kwako ni sawa tu
Akili zako zimejaa kinyesi kama fake id yako inavyojinasibu. Kwani nani anasifia kisa ni kabila moja? Kwani angefanya madudu na upuuzi ambao hauna manufaa kwa taifa nani angemsifia.
Mtu mpuuzi kama wewe hapo awali mlipinga ufisadi sasa umedhibitiwa mnajifanya kubeza.
 
Sawa wewe mwenye akili nyingi na real ID yako, ila mwambie Mjomba wako kama kweli anajiamini na hayo maproject yake basi aweke TUME HURU tuone, ye si anaamini anapendwa na kawatendea Mema Watanzania basi mwambie aweke TUME HURU tu sio mnategemea vyombo vya Ulinzi na usalama na Wakurugenzi, viongozi wa mikoa na wilaya sababu mliwaweka nyinyi. Muone kama mtashinda
 
Hizo zimeshakuwa hadithi za kitoto.
Kama tume sio huru mbona mlikuwa na wabunge 70+ bungeni.Hao walipatikanaje?
 
Kwa sababu ya danganya toto yenu tu, mnafanya kuwarushia mbwa mnofu ili muibe zaidi kwenye nyumba kubwa, Wekeni TUME HURU na kila kitu kiwe wazi toka juu, halafu tuone
 
Kila kitu kiko wazi wewe mpenda makalio makubwa. Kila chama kinakuwa na wakala kila ngazi ya uchaguzi,kuanzia kituo mpaka taifa. Na matokeo yanasainiwa na mawakala n kubandikwa kila ngazi husika.
 
Nini kipo wazi we malaya wa kimboka
Kilakitu kiko wazi wewe mpenda makalio makubwa. Kila chama kinakuwa na wakala kila ngazi ya uchaguzi,kuanzia kituo mpaka taifa. Na matokeo yanasainiwa na mawakala n kubandikwa kila ngazi husika.
 
Kila kitu kiko wazi wewe mpenda makalio makubwa. Kila chama kinakuwa na wakala kila ngazi ya uchaguzi,kuanzia kituo mpaka taifa. Na matokeo yanasainiwa na mawakala n kubandikwa kila ngazi husika.
Unaona sasa, ushalewa ukabila na ukijani wewe huwezi kusema ukweli. Mnajua kabisa Tume ni moja ya vitu vinavyowabeba.
 
Back
Top Bottom