Nionavyo CHADEMA hawaitakii mema Tanzania

Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Mzalendo halisi MY ASSSSSSSSSSSSSEEEEE
 
Lakini si alikuwa kiongozi mwandamizi wa serikali? Si alishiriki vikao vya maamuzi kupitia Baraza la Mawaziri? Hivyo maamuzi yote: ya mikataba ya kinyonyaji, sheria mbovu n.k., alishiriki kuyapitisha. Sikuwahi kumsikia hata siku moja akipingana na maamuzi hayo publicly, zaidi ya kushiriki kuinajisi nchi yetu. Ati leo anajifanya mtetezi wa taifa letu!!! Alizisifu safari za nje za Kikwete, leo anaziponda na kumsimanga Bwana Dhaifu!

[HASHTAG]#magufuliisaphony[/HASHTAG]
 
Nimekaa chini nikajiuliza matukio kadhaa na kauli kadhaa za CHADEMA,,Nimepata jibu kuwa watu hawa hawana uchungu na nchi yetu,nia yao ni kuingia ikulu na wako radhi kuongea neno lolote haijalishi madhara yake katika taswira ya taifa.

MOSI
2008 walidai ndugu yetu mmoja ni fisadi 2015 kwa uchu wa kuingia ikulu wakasaliti kauli zao na kumpa tiketi ya kugombea urais.Tukio lile lilileta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao hadi Dr Slaa kujitoa CHADEMA.

Madhara ya uamuzi huu ulipelekea Prof Lipumba kujitoa CUF.na Dr Slaa kujitoa ukatibu mkuu CHADEMA, Sakata lililopo CUF hadi leo ni matokeo yao CHADEMA na UKAWA kubadili gear angani,sasa wanakuja na hoja kuwa serikali inamtumia Prof Lipumba kuvuruga upinzani napigia mstari kauli yangu kuwa watu hawa hawaitakii mema Tanzania kwa kutengeneza tatizo wao wenyewe na kisha kuichafua serikali.

PILI
Kauli ya kutaka tutengwe na jumuia ya mataifa.Kila mtu analijua hili na sina haja ya kufafanua

TATU
Katika u tube video clip ya Bongo stars ya tarehe 12/09/2017 katika link :

Jeshi la polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambazwa na mbunge wa CHADEMA jina utapata kwenye hiyo clip kuwa kuna askari wa jeshi la polisi la Tanzania ameonekana Nairobi alikolazwa Lissu.

Sasa najiuliza kutoa kauli za uongo kuichafua serikali ni kwa faida ya nani? Halafu utegemee wananchi hao hao unao ichafua serikali yao wakupe kura 2020? Hizo ni ndoto za mchana.

Nitoe wito tu,kabla hujathibitisha ukweli wa taarifa fulani huna ruhusa ya kuisambaza as if ni ukweli.

Madhara ya taarifa kama hii ni makubwa sana.Inajenga chuki ya wananchi dhidi ya serikali na inachafua taswira ya serikali nje ya nchi.

Mambo kama haya hufanywa na wale wanao ichukia serikali kwani chuki imewapofusha macho kiasi kwamba hawaoni madhara ya kile wanacho kiongea

Nitashangaa kama bado kuna mtanzania mnyonge asiekula ruzuku ya chama hiki ataendelea kuwa mfuasi wa chama hiki.Waache wanao kula ruzuku waendelee kupambana kulinda maslahi yao,wanyonge wote sehemu yetu salama ni CCM chini ya JPM
Long Live JPM;HAPA KAZI TU
Jaruri;Mzalendo halisi
0712207633

Tatizo lako ni moja-unapambana kutafuta uteuzi bila kwanza kujiongezea maarifa! Kiwango chako ni cha chini mno hata mteuzi wakati mwingine naye anaangalia asiendelee kuumbuliwa na wajinga wajinga!
 
...[HASHTAG]#jaruri[/HASHTAG] shida yenu nyie @@#@@ hampendi kukosolewa nchi hii mshaifanyia madudu sana

Ova
 
KUNA KAULI YAO WALIITOAGA MPAKA LEO NAIWAZAGA HIVI WALIKUA NA AKILI TIMAMU KWELI? ETI TUKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA SHETANI KUITOA CCM MADARAKANI!!! HII SIO AKILI HALAFU SASA HIVI YANASEMA TUYAOMBEE MTU MSALITI
 
Back
Top Bottom