Niombeen dua napga pepa leo form IV

Elimu ni nyepesi sana kaka, mwambie mdogo wako akafanye mtihani na sio kumuombea possibles, kama alikua hasomi imekula kwake, ila kama anasoma st. Kata mpe pole, mwambie ndo maisha.
 
Kumbe JF nayo kuna watoto wa O-Level? Duh! Nimechoka gafla!
 
1. 45
2. x = 2
3. 10
4. 3
5. x = 5
6. 53 cm
7. y = 12
8. 66 kilos
9. 0 or infinite number.
10. 105350 ltrs
 
Acha kufuata mikumbo dogo,sisi kaka zako tumo Javini nawe washinda humu jvn,kumbe bado hujamalizana na NECTA!Acha kuiga na uwe makini vinginevyo itakula kwako.
 
kama kuna mtu ana ma ishu aka ma dude aka feki aka cd!ani pm bac au co?tutoane thc z lyf bhana

Ndiyo viongozi wa kesho nyie? Khaaaaa..!!!!?? Badala ya kujiandaa na mitihani unawaza "wizi/udanganyifu"?

Kila la Heri Kijana!
 
Kwa akili yako unaona ni sawa?
Ndio wanaotuharibia JF yetu!
Inabidi kuwe na age restriction

Mkuu, jamaa kasema yupo form four lakini hakusema kuwa yupo UnderAge.
Though kila mtu hata mtoto ana haki ya kupata nyuz...!!
 
kama kuna mtu ana ma ishu aka ma dude aka feki aka cd!ani pm bac au co?tutoane thc z lyf bhana

kwnza Unajiita greater thnker kumbe ni kilaza, pili kwenye tittle unasema 2kuombee dua, ndani unaomba madude.
Ujanja ujanja tu!
 
kama ulikuwa husomi kwa kutegemea feki, imekula kwako.
 
unashangaa O level mwanangu wa 3yrs anaijua Jf.akifika 13yrs nahisi atajiunga

Pole sana, kama hako ni kaBinti katakapofikisha miaka 8 tegemea katakuwa kameshajiunga kwenye jukwaa pendwa la Mambo ya Wakubwa kujifunza maujanja, na kakifika miaka 13 katakuwa kana mauzoefu kuliko Baba na Mama yake combined, hatari!!!
 
Dogo nakutakia mtihani mwema.

Nenda ukakitoe kile ulichokiingiza kichwani mwako katika miaka yako minne ya masomo, na ata wakati wa kusahihishwa paper zako, kwa haki uhukumiwe; usikoseshwe pale ulipopatia na wala usipewe tick pale ulipokosea, nenda ukafune ulichokipanda.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom